MAJUKUMU
1.Kusimamia uhufadhi wa nyuki na mazingira yao.
2.Kusimamia uzalishaji na utayarishaji wa mazo ya nyuki.
3.Kusimamia ugani wa ufugaji nyuki.
4.Kutoa ushauri kwa vyombo vinavyohusian na ufugaji nyuki.
5.Kusimamia tafiti za maliasili ya nyuki.
6.Kusimamia utayarishaji wa zana za ufugaji nyuki.
7.Kusimamia ukuzaji na usambazaji wa nyuki kwa wafugaji nyuki.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa