MAJUKUMU.
1.Kusimamia kesi za Halmashauri.
2. Kuandaa mikataba mbalimbali ya Halmashauri.
3. Kushauri masuala mbalimbali ya kisheria yanayohusiana na Halmashauri.
4. Kusimamia uendeshaji wa mabaraza ya kata eneo la Halmashauri.
5. Kuandaa na kusimamia utungaji wa sheria ndogo za Halmashauri.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa