• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu, na Usimamizi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Teknolojia ya Habari, Mawasiliano na Uhusiano
      • Kitengo cha Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha

MKUU WA MKOA WA MOROGORO AMWAGIZA MKURUGENZI WA MANISPAA KUJENGA SHULE MPYA TANO ZA MSINGI ILI KUPUNGUZA MSONGAMANO WA WANAFUNZI.

Posted on: January 25th, 2018

Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dr.Kebwe Stephen amemtaka Mkurungezi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro John Mgalula, kuweka mkakati wa haraka na kuanza mara moja kujenga shule mpya tano za msingi, ili kupunguza msongamanouliopo, ambapo baadhi ya shule zina wanafunzi zaidi ya 2000 na bado kunauhitaji mkubwa wa vyumba vya madarasa. 

Dr Kebwe ametoa agizo hilo katika mkutano wake na walimu wakuu washule za Msingi na sekondari,maafisa elimu Kata,na wadau wa elimu manispaa yaMorogoro, ambapo amesema kulingana na ongezeko hilo la wanafunzi, hakuna sababuya kuongeza vyumba vya madarasa, bali ni kujenga shule nyingine tano, ambazozitasaidia kupunguza msongamano wa wanafunzi. 

Mkuu huyo wa Mkoa, amesema kwa sasa Manispaa ya Morogoro ina jumlaya wanafunzi 56,755 ambao wanahitaji vyumba vya madarasa 1,252 lakini vilivyoponi 620 hivyo kupelekea kuwa na upungufu wa vyumba vya madarasa 632.

 Kwa upande wake Afisa elimu msingi Manispaa ya Morogoro Bw. AbdulBuhety amesema endapo maagizo ya Mkuu wa Mkoa yatafanyiwa kazi, basi kunauwezekano mkubwa wa kupunguza msongamano wa wanafunzi mashuleni kutokana nauchache wa vyumba vya madarasa, kwani kuna baadhi ya shule zina zaidi yawanafunzi 2000, hivyo endapo kutaongezwa kwa shule  hizo tano, kutasaidiakuondokana na tatizo hilo.

Katika hatua nyingine Mkuu wa Mkoa Dr Kebwe Stephen, amewatakawakuu wa Shule Msingi na Sekondari pamoja na viongozi wengine wa Elimu Mkoanihapa,kuhakikisha wanazingatia waraka namba sita wa Mwaka 2016, unaotoa Mwongozowa elimu bure, ili kuepukana na uendeshaji wa michango mashuleni ulio kinyumena waraka huo. 

 Aidha mkuu wa mkoa amewatahadharisha viongozi wenye dhamanaya elimu kuzingatia waraka namba sita wa mwaka 2016 unao toa mwongozo wa elimubure ili kuepuka uendeshaji wa michango mashuleni ulio kinyume na waraka huo.

Matangazo

  • Tangazo kwa walioomba kununua Viwanja eneo la Mkundi Mawasiliano Kitalu LL November 26, 2018
  • Tangazo la Kikao cha kawaida cha Baraza la Madiwani tarehe 02/11/2018 October 26, 2018
  • Tangazo kikao cha Baraza la Madiwani na Uchaguzi wa Naibu Meya tarehe 12/07/2018 July 10, 2018
  • Kumbushio ulipaji wa kodi ya Ardhi kwa wadaiwa sugu. May 09, 2018
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • MANISPAA MORO YAWEKA MKAKATI WA KUONGEZA MAKUSANYO YA MAPATO YA NDANI ILI KUBORESHA UTOAJI WA HUDUMA

    February 11, 2019
  • WAMACHINGA , MAMA LICHE MANISPAA MORO WAJITOKEZA KUPATA KITAMBULISHO CHA MFANYABIASHARA MDOGO.WAMPONGEZA MHE RAIS MAGUFULI.

    February 06, 2019
  • DC CHONJO AWAFUATA WAJASIRIAMALI WADOGO WALIKO KUWAPA ELIMU YA MANUFAA YA KITAMBULISHO CHA MFANYABIASHARA MDOGO

    February 01, 2019
  • WANAWAKE , VIJANA , WENYE ULEMAVU MANISPAA MORO WANUFAIKA NA MIKOPO

    January 15, 2019
  • Angalia Yote

Video

ZIARA YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS TAMISEMI SELEMANI JAFO KUKAGUA UJENZI WA SOKO KUU MANISPAA YA MOROGORO
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala ya Serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0757-226612

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa