Posted on: March 7th, 2023
KATIKA kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake duniani, Kata ya Sabasaba Manispaa ya Morogoro kwa kushirikiana na Vikundi vya wanawake wameadhimisha siku hiyo kwa kuwakumbuka watoto wenye mahitaji ...
Posted on: March 7th, 2023
MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Mzeru, ameahidi kuwapatia Jukwaa la Wanawake Kata ya Kihonda Shilingi milioni 1 na laki 5 kwa ajili ya kutunisha mfuko wa jukwaa lao katika kujikwamu...
Posted on: March 6th, 2023
DIWANI wa Kata ya Mkundi, Mh. Seif Chomoka, amesema ili bidhaa ziweze kuuzika ni lazima wajasiriamali wajikite katika kujitangaza na kutafuta masoko.
Kauli hiyo ameitoa Machi 04/2023 akizungumza na...