Posted on: February 25th, 2023
BARAZA la Madiwani Manispaa ya Morogoro imeidhinisha kutumia kiasi cha shilingi 95.690,984,212.00 katika mwaka wa fedha 2023/2024.
Kauli hiyo imetolewa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro Mhe....
Posted on: March 24th, 2023
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imenunua pikipiki 916 kwa ajili ya watendaji kata nchini lengo likiwa ni kuboresha mazingira ya utendaji kazi kwa maofisa hao.
Katika p...
Posted on: February 23rd, 2023
MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Rebeca Nsemwa, amewataka Viongozi kwa kushirikiana na Jamii kupinga na kukemea kwa nguvu zote vitendo vya ukatili wa watoto na wanawake ambavyo vinaonekana kukithiri.
...