Posted on: July 20th, 2022
ALIYEKUWA Naibu Meya Manispaa ya Morogoro, ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Sabasaba, Mhe. Mohamed Yahaya Lukwele,amepita tena kwa kishindo katika uchaguzi wa Unaibu uliofanyika katika Mkutano wa kawai...
Posted on: July 19th, 2022
MANISPAA ya Morogoro inategemea kukusanya kiasi cha Shilingi Bilioni 12.6 katika mwaka wa fedha 2022/2023.
Kauli hiyo imetolewa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro, Mhe. Pascal Kihanga, ...
Posted on: July 14th, 2022
MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Albert Msando, amekabidhi mchoro wa kimkakati wenye lengo la kuujenga Mji wa Kiegea A na B eneo la Star City Manispaa ya Morogoro.
Mchoro huo amekabidhi Julai 14/20...