Posted on: July 10th, 2022
MANISPAA ya Morogoro yaendelea kusimamia utoaji wa matibabu kwa Wazee bila malipo, upatikanaji wa dawa Hospitalini na uwepo wa dirisha maalum kwa ajili ya Wazee ili kuwaenzi na kuwaondolea usumbufu.
...
Posted on: July 8th, 2022
Kituo cha Afya cha kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro , kinatarajiwa kukamilika hivi karibuni kitakuwa na uwezo wa kuhudumia zaidi ya Wananchi 30000 na Mitaa jirani.
Akitoa taarifa ya ujenzi wa ki...
Posted on: July 1st, 2022
KATIKA kuhakikisha watoto wanapata huduma za malezi, Makuzi na Maendeleo ya awali kadiri ya taratibu za serikali , Afisa Ustawi wa Jamii kutoka Manispaa ya Morogoro, Hamisa Kagambo,amewataka Wamiliki ...