KAZI ZINAZOFANYWA NA IDARA YA UJENZI
MAJENGO
1. Usimamizi wa majengo ya Serikali kama vile ujenzi wa Zahanati, Ofisi za Kata, Shule, n.k
2. Kuandaa michoro pamoja na gharama za ujenzi (BOQ) kwa majengo ya Serikali
3. Kukagua ujenziwamajengomjininakusimamishaujenziwamajengombalimbalimjiniyanayojengwabilakufuatataratibu.
4. Kukagua ramani mbalimbali kwa ajili ya maombi ya vibali vya ujenzi
5. Kutoa vibali vya ujenzi kwa ramani zilizofuata taratibu za Manispaa
BARABARA
KARAKANA
1. Kufanya marekebisho ya miundombinu ya umeme katika majengo ya Serikali kama vile Ofisikuu, Zahanati, shulen.k
2.Kufanya matengenezo ya vifaa vya umeme vinavyotumika na majengo ya Serikali kama vile Kiyoyozi, swichi, n.k
3. Kufanya matengenezo ya magari ya Manispaa.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa