• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

Fedha na Biashara

DIVISHENI YA VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI

Lengo

Kutoa mazingira mazuri ya biashara kwa maendeleo ya viwanda, masoko na uwekezaji.

Majukumu

Divisheni hii inatekeleza majukumu yafuatayo:-

  • Kuratibu utekelezaji wa sera, sheria, kanuni na taratibu zinazohusu viwanda, biashara, masoko na uwekezaji;
  • Kuhamasisha viwanda, biashara, masoko na uwekezaji ndani ya Manispaa;
  • Kupanga na kuanzisha maeneo na hifadhi za viwanda kwa kushirikiana na wadau wengine muhimu;
  • Kupanga mikakati ya kukuza viwanda, biashara, masoko na uwekezaji;
  • Kukuza maendeleo ya biashara ndogondogo  na za kati (SME’s);
  • Kuandaa mapendekezo na miradi ya uwekezaji;
  • Kuendeleza maendeleo ya sekta binafsi;
  • Kuanzisha na kusimamia kanzidata ya viwanda, biashara, masoko na uwekezaji;
  • Kusimamia usimamizi wa kituo kimoja cha biashara;
  • Kufanya tafiti za kukuza uwekezaji;
  • Kuratibu jukwaa la biashara
  • Kusimamia minada na shughuli za masoko ndani ya Manispaa;
  • Kutekeleza Mkakati wa Ukuzaji wa Biashara kwa wachuuzi wadogo na watoa huduma za biashara wadogo; na
  • Kutoa mazingira mazuri ya Biashara na Uwekezaji ili kuhamasisha Biashara na Uwekezaji.
  • Divisheni hii inaongozwa na Mkuu wa Divisheni na ina seksheni mbili kama ifuatavyo;-
  • Seksheni ya Maendeleo ya Viwanda na Uwekezaji;
  • Seksheni ya Biashara na Masoko.
  • Seksheni ya Maendeleo ya Viwanda na Uwekezaji

Seksheni hii inafanya shughuli zifuatazo:-

  • Kuratibu utekelezaji wa sera, sheria kanuni na taratibu zinazohusu sekta za viwanda na uwekezaji;
  • Kuhamasisha na kuratibu utekelezaji wa ushirikiano wa sekta binafsi ya umma;
  • Kutenga, kuanzisha, na kufuatilia maeneo na hifadhi za viwanda;
  • Kutoa ushauri kuhusu uboreshaji wa sera za viwanda na kuratibu vikao vya sekta;
  • Kuhamasiaha uzalishaji wa malighafi mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya viwandani;
  • Kuandaa na kutunza rejista za viwanda na uwekezaji;
  • Kupanga na kukadiria ushuru kwa viwanda vidogo;
  • Kuhamaisha uwekezaji wa sekta binafsi;
  • Kuendeleza na kupitia upya wasifu wa uwekezaji;
  • Kuratibu na kutoa ushauri kwa wawekezaji; na
  • Kutengeneza mazingira mazuri kwa ajili ya uwekezaji.

Seksheni hii inaongozwa na Afisa Anayehusika.

  • Seksheni ya Biashara na Masoko

Seksheni hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kusimamia utekelezaji wa sera, sheria, kanuni na taratibu za biashara na masoko;
  • Kutoa ujuzi wa ujasirimali kwa jumuia za wafanya biashara;
  • Kuratibu na kutoa ushauri kuhusu shughuli za uandikishaji biashara;
  • Kuchambua taarifa za biashara na masoko na kushauri ipasavyo;
  • Kuratibu jukwaa la biasahara la Manispaa;
  • Kukuza ushirikiano wa sekta binafsi ya umma;
  • Kusimamia minada na shughuli za masoko katika Manispaa; na
  • Kukusanya na kusambaza taarifa za masoko za bidhaa na huduma kwa wadau wanaovutiwa;
  • Kutekeleza Mkakati wa Maendeleo ya Biashara kwa wachuuzi wadogo na watoa huduma wa biashara ndogondogo; na
  • Kutoa mazingira mazuri ya biashara.

Seksheni hii inaongozwa na Afisa Anayehusika.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa