• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

Afya

DIVISHENI YA AFYA, USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE

Lengo

Kutoa huduma bora za afya, ustawi wa jamii na lishe kwa ajili ya ustawi wa jamii.

Majukumu

Divisheni hii inatekeleza majukumu yafuatayo:-

  • Kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na taratibu za utoaji wa huduma za afya, ustawi wa jamii na lishe;
  • Kuandaa mipango na program za muda mfupi na muda mrefu za sekta ya afya ndani ya Halmashauri;
  • Kukuza ushiriki wa wadau mbalimbali katika shughuli za afya, ustawi wa jamii na lishe;
  • Kuandaa na kuwasilisha taarifa zinazohusu huduma za afya, ustawi wa jamii na lishe kwa mamlaka husika.
  • Kuandaa mikakati ya kudhibiti magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza.
  • Kusimamia miradi ya afya, ustawi wa jamii na lishe na
  • Kusimamia kanzidata zinazohusu masuala ya huduma za afya, ustawi wa jamii na lishe.

Divisheni hii inaongozwa na Mkuu wa Divisheni ambaye pia ndiye Mganga Mkuu wa Halmashauri.

Divisheni hii ina seksheni tatu kama ifuatavyo:-

  • Seksheni ya Huduma za Afya
  • Seksheni ya Ustawi wa Jamii
  • Seksheni ya Huduma za Lishe
  •  
  • Seksheni ya Huduma za Afya

Seksheni hii inafanya shughuli zifuatazo:-

  • Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na taratibu za huduma za afya;
  • Kushauri kuhusu kuratibu na kujenga uwezo kuhusu huduma za afya;
  • Kuandaa mipango na program za muda mfupi na za muda mrefu za huduma za afya;
  • Kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wadau kuhusu masuala ya huduma za afya na
  • Kufanya ufuatiliaji na tathmini ya magonjwa, kuzuia magonjwa yasiyo ya kuambukiza, magonjwa ya kuambukiza na magonjwa yanayojitokeza katika vituo vyote, jamii na kwenye maingizo.

Seksheni hii inaongozwa na Afisa Anayehusika.

  • Seksheni ya Ustawi wa Jamii

Hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na taratibu za uboreshaji ustawi wa jamii;
  • Kuandaa mipango na miradi ya muda mfupi na ya muda mrefu ya ustawi wa jamii;
  • Kusimamia utekelezaji wa mipango na miradi ya ustawi wa jamii;
  • Kuratibu na kusimamia miradi yote inayohusu ustawi wa jamii; na
  • Kuandaa taarifa zinazohusu ustawi wa jamii.
  • Seksheni hii inaongozwa na Afisa Anayehusika.
  • Seksheni ya Huduma za Lishe
  • Hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-
  • Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na taratibu za uboreshaji ustawi wa jamii;
  • Kuandaa mipango na miradi ya muda mfupi na muda mrefu ya lishe,
  • Kusimamia utekelezaji wa mipango na miradi ya lishe;
  • Kuratibu na kusimamia miradi yote inayohusu lishe;
  • Kuandaa taarifa zinazohusu lishe ya jamii;
  • Kuhamasisha jamii kuhusu masuala ya lishe;
  • Kufuatilia na kutathmini utoaji wa huduma za lishe ndani ya Manispaa;
  • Kukusanya na kuchambua taarifa za huduma za lishe ; na
  • Kutoa huduma za lishe kwa watoto, watu wazima na watu wenye mahitaji maalum.

Seksheni hii inaongozwa na Afisa Anayehusika.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa