1.Kila mwananchi anayemiliki kiwanja au shamba lililopimwa analazimika kulipa kodi ya ardhi kwa kila mwaka.
2.Kila mmiliki wa kiwanja au shamba lililopimwa analazimika kwenda Ofisi ya Ardhi Wilaya akiwa na Stakabadhi ya Malipo ya Kodi ya Ardhi kwa mwaka uliopita pamoja na Hati Halisi ya Umiliki wa kiwanja au shamba hilo.
3.Mtaalamu wa Mfumo wa Kodi ya Ardhi atamtolea Hati ya Malipo anayotakiwa kulipa kwa mwaka husika au malimbikizo ya deni la Kodi ya Ardhi ikiwa ni pamoja na faini.
4.Malipo yanaweza kufanyika kwa njia ya simu kwa kufuata maelekezo kwa kubofya namba hizi * 152*00# kisha endelea kufuata maelekezo.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa