• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

Posted on: April 26th, 2025

Waheshimiwa Madiwani,viongozi wa CCM wilaya,wakuu wa idara kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro leo tarehe 24 Aprili,2025 wamefanya ziara ya mafunzo katika Jiji la Tanga,lengo ikiwa ni kujifunza mbinu mbalimbali za ukusanyaji mapato na namna bora ya kuboresha usafi wa mazingira.



Akizungumza wakati wa ukaribisho,Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga Mhe,Abdulrahman Shillow ameupongeza uongozi wa Manispaa ya Morogoro kwa kuchagua Jiji la Tanga kuwa sehemu bora ya kujifunzia na kueleza kuwa katika eneo la mapato wanaendelea kuboresha ukusanyaji na wanatarajia kuwa kinara wa ukusanyaji katika majiji yaliyopo.


Aidha ameeleza katika upande wa usafi wa mazingira Jiji la Tanga limeendelea kushika nafasi ya kwanza kitaifa katika upande wa majiji ila wao bado hawajaridhika wanaendelea na kutoa elimu kwa wananchi kuwa na tamaduni ya kuwa wasafi kila wakati.

Naye Mstahiki Meya Manispaa ya Morogoro  Mhe. Pascal Kihanga ameushukuru Uongozi wa Jiji Tanga kwa kuwapokea na kueleza kuwa Manispaa ilikuwa ikikusanya Bilion 4 ila kwa hivi sasa inakusanya Bil 14 hivyo kuja kujifunza hii itaongeza ufanisi katika ukusanyaji mapato.

Ziara hiyo  ilianza na kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano uliopo katika ofisi za Jiji la Tanga kwa kujadiliana mambo mbalimbali na Mstahiki Meya wa Jiji,Naibu Meya wa jiji,na wataalamu wa Jiji la Tanga.

Wakiwasilisha mada wataalamu wa Jiji la Tanga walieleza mbinu mbalimbali wanazotumia kukusanya mapato sambambana uibuaji wa vyanzo vipya vya kuiwezesha Jiji kupata mapato na namna bora wanayoitumia katika kusafisha na kuhifadhi mazingira.

Miongoni mwa miradi iliyotembelewa na wagenii hao ni Dampo la kisasa la Mpirani,Jengo la kitega Uchumi la Samia Business Center na kiwanda cha kutengeneza Tofli cha “BLOCK MACHINE” cha kampuni ya SILKANT kinachomilikiwa na Jiji la Tanga.

Ziara hiyo imefanyika kwa mda wa siku tatu kuanzia tarehe 24-26 Aprili 2025.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI YATOLEWA MANISPAA YA MOROGORO.

    May 14, 2025
  • BALOZI BATILDA ATAKA MAONI YA WADAU KUFANYIWA KAZI KUELEKEA MAONESHO YA NANENANE KANDA YA MSHARIKI 2025

    May 06, 2025
  • MAAFISA ARDHI WATAKAOBAINIKA NI VYANZO VYA MIGOGORO YA ARDHI TUTAWAFIKISHA MAHAKAMANI-DKT.NDUMBARO.

    May 05, 2025
  • WAAJIRI SEKTA BINAFSI RUHUSUNI WATUMISHI WENU KUJIUNGA NA CHAMA CHA WAFANYAKAZI - RC MALIMA.

    May 01, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa