• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

BARAZA LA WATOTO MANISPAA YA MROGORO LAPATA VIONGOZI WAPYA

Posted on: June 14th, 2023

BARAZA la watoto Manispaa ya Morogoro lapata viongozi wapya katika uchaguzi uliofanyika Ukumbi wa Ofisi ya Kata ya Mji Mkuu, juni 14/2023.

Katika uchaguzi huo, jumla ya wajumbe 11 walihudhuria na kuchagua viongozi kwa ngazi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti.

Katika matokeo hayo, Omary Fadhili kutoka shule ya Msingi Mafiga 'B'aliibuka mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti kwa kupata kura 7 na Fadhila Ally kutoka shule ya Sekondari Kola Hill alifanikiwa kupata nafasi ya Makamu mwenyekiti wa Baraza hilo kwa kupata kura 7.

Akizungumza katika uchaguzi wa viongozi wa Baraza la Watoto, Afisa Ustawi Dawati la Watoto Manispaa ya Morogoro , Joyce Mugambi, amesema lengo la kuanzisha Baraza hilo ni kupigania haki za watoto na kuelimisha jamii kuhusu haki za watoto katika Halmashauri ambapo watoto hao wamejumuishwa na wanafunzi kutoka katika shule za Msingi na Sekondari.

Kuhusu nafasi ya Ukatibu, amesema watafanya uchaguzi huo lakini zaidi amewatakia majukumu mema Viongozi waliochaguliwa.

Kuhusu haki za Mtoto, Mugambi, amewataka wazazi na walezi kuhakikisha kuwa wanazilinda na kuzihuisha tunu na haki za watoto.

Aidha , Mugambi, amewataka Watoto kuripoti matukio yanayokiuka haki za watoto na kuzitolea haki za watoto kwa mlezi aliye karibu nawe na unayemwamini au kupiga simu namba 116 kupata msaada zaidi ili watoto waendelee kuwa katika mazingira huru na yenye furaha na amani kwa kupata haki za msingi.

Hata hivyo, amewataka Wazazi na Walezi kuimarisha upendo na umoja kwani familia ndio msingi Mkuu wa malezi ya Mtoto kwenye jamii na amewataka Watoto kuheshimiana,kupendana na kuthaminiana.

Sanjari na hapo, amechukua fursa ya kuwaalika wananchi katika Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika Juni 16/2023 katika Viwanja vya shule ya Msingi Mwembesongo yatakayosindikizwa na maandamano yatakayoanza saa 2:30 asubuhi shule ya Msingi Mtawala na kuelekea Mwembesongo Shule ya Msingi.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti viongozi waliochaguliwa , wamesema watahakikisha kuwa wanatimiza wajibu wa kulitumikia Baraza la Watoto pamoja na kuhimiza upendo na mashikamano kwa watoto pamoja na kutoa taarifa juu ya matendo ya ukatili ambayo watoto wamekuwa wakifanyiwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa