• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu, na Usimamizi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Teknolojia ya Habari, Mawasiliano na Uhusiano
      • Kitengo cha Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

DC MSANDO AWAONDOA HOFU WANANCHI WA KIEGEA A NA B JUU YA UPIMAJI WA ENEO LA STAR CITY.

Posted on: March 29th, 2022

MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Albert Msando, amewatoa hofu wananchi wa Kiegea A na B Kata ya Mkundi na Kihonda Manispaa ya Morogoro juu ya upimaji wa eneo hilo lenye ekari 4500.

Hayo ameyasema Machi 29/2022 katika kikao cha utoaji wa taarifa ya uhakiki na kutangaza zoezi la kupima viwanja katika eneo  la Star City.

DC Msando, amesema katika upangaji na upimaji hakuna mwananchi atakayezurumiwa eneo lake kwani kila mwananchi atapata haki yake kulingana na taaarifa zake za uhakiki zinavyosema.

Aidha, amesema lengo la kupima na kupanga mji huo ni kuona kila mwananchi aliye na kipande anakuwa na hati yake miliki ili kujiletea maendeleo.

"Hatutamuonea mtu yeyote katika zoezi hili la upimaji, lakini tuwe na huruma sana hatuwezi kuwaachia watu ekari zaidi ya 100 au 50 mtu mmoja kwa ajili ya makazi hii haiwezekani , eneo hili ni kwa ajili ya makazi, biashara na taasisi kwahiyo tunaamini zoezi letu litafanyika kwa umakini mkubwa na kwa ustadi wa hali ya juu'' Amesema DC Msando.

Aidha, DC Msando, amesema kwa sasa Mji unahitaji kupangwa hivyo wananchi lazima wasikilize maalekezo na maagizo ya viongozi badala ya kukiuka maagizo hayo.

"Zipo tabia ambazo viongozi tunatoa maelekezo lakini kuna watu bado wanayapuuza, tabia hiyo siitaki , nataka tukitoa maelekezo tuyafanyie kazi, unazuiwa kuuza na kununua eneno wewe unanunua unataka tukufanyaje? naomba viongozi tusimamie katika hili" Ameongeza DC Msando.

Naye , Afisa Mipango Miji Manispaa ya Morogoro, Emeline Kihunrwa, amesema kwa sasa timu ipo kazini kuhakikisha eneo hilo lote lenye ekari 4500 linapimwa na kupangwa ili wananchi waweze kupata hati zao.

Zoezi la upimaji limeanza Machi 31/2022.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUFANYA USAHILI NAFASI ZA KAZI ZA MDA ZA ANWANI ZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA WATENDAJI WA MITAA DARAJA LA TATU TAREHE 20/6/2020 June 12, 2020
  • TANGAZO LA UCHAGUZI MKUU October 20, 2020
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWAN TAREHE 19.08.2021 August 18, 2021
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • RC SHIGELA AZINDUA UTOAJI WA CHANJO YA POLIO KWA WATOTO CHINI YA MIAKA 5 MANISPAA YA MOROGORO

    May 19, 2022
  • KAMATI YA FEDHA MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    May 18, 2022
  • MANISPAA YA MOROGORO YAKABIDHI KOMPYUTA 30 NA PHOTOKOPI MASHINE 2 SHULE 3 ZA SEKONDARI NA VITUO VYA TRC

    May 03, 2022
  • MANISPAA YA MOROGORO YAADHIMISHA SIKU YA MUUNGANO KWA KUFANYA USAFI

    April 26, 2022
  • Angalia Yote

Video

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI MANISPAA YA MOROGORO WAZIRI KOMBO ATANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA ULIOFANYIKA NOV.24/2019.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa