• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • TEHAMA
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

DC NSEMWA AWATAKA WADAU WA SANAA KUCHANGAMKIA MKOPO WA ASIMILI 10 WA HALMSHAURI

Posted on: March 10th, 2023

MKUU wa Wilaya ya Morogoro , Mhe. Rebeca Nsemwa, amewataka waigizaji waliopo katika Tasnia ya Sanaa kujiimarisha katika kazi zao kupitia mkopo wa asilimia kumi unaotolewa na Halmashauri ya Manispaa.

Hayo ameyasema katika uzinduzi wa mafunzo maalum ya uigizaji katika ukumbi wa soko la kingalu Mjini Morogo yaliyofanyika Machi 03/2023.

“kwakua kuna kiasi cha fedha kinachotengwa kwaajili ya kusaidia vijana wenye nia ya dhati katika kuleta maendeleo, mnayosababu ya kufuata utaratibu ili kupata fungu litakalosaidia kuleta ubora katika uzalishaji wa kazi zenu, nami nitawasaidia kwa nafasi yangu ili kufanikisha hilo pale mtakaponihitaji’ Amesema DC Nsemwa.

Hata hivyo DC Nsemwa, amewataka wasanii kuzingatia mafunzo ili kuonesha utofauti uliopo kati yao na wale ambao hawajapata mafunzo hayo kwa kutengeneza kazi nzuri kitaalam zenye maudhui ya kuonesha matatizo yanayoikabili Morogoro na njia za kuyatatua kama ukatili na unyanyasaji wa kijinsia pamoja na athari zitokanazo na uharibifu wa Mazingira.

Aidha, Katibu Mwenezi CCM Wilaya ya Morogoro Mjini, Maulidi Chambilila, amesema kwa kuwa waigizaji hao wapo Jimbo la Morogoro Mjini ,hivyo Mbunge wa Jimbo hilo, Mhe. Dkt. Abdulaziz Abood yupo pamoja na wasanii hao na atendelea kuwaunga mono katika kufikia ndoto zao.

Chambilila, amepongeza Uongozi wa Chama cha waigizaji Morogoro kwa kuandaa Mafunzo hayo yenye lengo la kukuza Tasnia ya Sanaa na kuleta mabadiliko ya ubunifu wa kazi.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa waigizaji Mkoa wa Morogoro , Ramadhan Hamis Bugala , ametoa shukrani za dhati kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro kupitia ofisi ya Utamaduni,Mkuu wa wilaya ya Morogoro na Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini kuunga mkono zoezi hili la utoaji mafunzo kwa hali na mali hadi kufanikiwa, ambapo waigizaji 50 wamepata mafunzo hayo na kutunukiwa vyeti maalum.

Mafunzo ya uigizaji filamu yameratibiwa na chama cha waigizaji mkoa wa Morogoro wakishirikiana na Bodi ya filam Tanzania na kutolewa na Muhadhiri wa chuo kikuu Dodoma Dokta Gervas Kasiga kwa muda wa siku mbili tarehe 4 na 5 Machi 2023.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAPOKEZI YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MWAKA 2023 May 12, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 06, 2022
  • TANGAZO LA UUZWAJI VIWANJA ENEO LA KIEGEA A NA B December 02, 2022
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • RC MWASSA AITAKA JAMII KUJENGA MIFUMO BORA YA MALEZI.

    May 16, 2023
  • MWENGE WA UHURU WAPITISHA KWA KISHINDO MIRADI YA MANISPAA MOROGORO

    May 13, 2023
  • PAZIA LA MASHINDANO YA UMISSETA MANISPAA YA MOROGORO LAZINDULIWA MEI 11/2023

    May 11, 2023
  • MANISPAA YA MOROGORO YAZINDUA MASHINDANO UMITASHUMTA

    May 10, 2023
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa