• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

DIWANI CHOMOKA AKABIDHI MILIONI 5 JUKWAA LA WANAWAKE KATA YA MKUNDI, ATOA NENO ZITO JUU YA MIRADI WANAYOIFANYA

Posted on: April 4th, 2022

DIWANI wa Kata ya Mkundi Manispaa ya Morogoro, Mhe. Seif Chomoka amekabidhi hundi ya Milioni 5 kwa vikundi  Wanawake Wajasiriamali Kata ya Mkundi na kuwataka kubuni miradi yenye tija na mwelekeo wa viwanda ili waweze kujiongezea tija katika uzalishaji na kuongeza wigo wa ajira kwa jamii inayowazunguka.

Hayo yamesemwa Aprili 02/2022 katika Kongamano la Wanawake Kata ya Mkundi lililofanyika katika Ukumbi wa Chuo Cha Uandishi wa Habari MSJ.

Akizungumza na Wanawake waliojitokeza katika Kongamano hilo, Mhe. Chomoka, amesema vikundi vingi vya wanawake havipo katika mrengo wa viwanda vidogovidogo jambo linalowakosesha wanawake mapato huku akiwakumbusha kuendelea kuwatumia wataalamu waliopo ngazi ya Halmashauri ili kujiongezea ujuzi na wigo waufanyaji wa biashara.

"Leo nimefurahi kukutana na nyinyi, hii pesa milioni 5 ninayoitoa leo ni kwaajili ya kuwasaidia muweze kukopeshana mkiachilia mbali mkopo wa Manispaa, nataka kuona miradi yenye tija, hamisheni akili zenu katika miradi yenye tija ilimuweze kujiongezea vipato, mnao wataalamu wa Manispaa shirikianeni muone jinsi mtakavyoweza kupiga hatua kubwa zaidi na ili muweze kujikimu katika kusaidia familia zenu" AmesemaMhe. Chomoka.

Kwa upande wao baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Moro Batiki, Dkt. Herrieth Mkaanga, amesema asilimia kubwa ya wanawake wameondokana na dhana ambazo zilikuwa zikiwafunga na kushindwa kujikita katika shughuli za kimaendeleo huku akisema masuala ya usawa wa haki kwa wanawake yamekuwa ni kipaumbele katika jamii kwasasa.

Katika hatua nyingine, Mhe. Chomoka amesema asilimia kubwa ya miradi imeshatengewa fedha na ipo katika hatua za utekelezaji , ambapo miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo maji pamoja na barabara inaendelea kutekelezwa huku akiwakumbusha kuendelea kuiamini serikali kwa utekelezaji mzuri wa miradi inayowagusa wananchi.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa