• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

KAMATI NDOGO YA MAZINGIRA MANISPAA YA MOROGORO YATAKA WANANCHI KUWAJIBIKA KATIKA USAFI WA MAZINGIRA KUWEKA MJI SAFI

Posted on: July 19th, 2024

KAMATI ndogo ya Mazingira Manispaa ya Morogoro imewataka watendaji wa Kata na Mitaa, wananchi pamoja na wadau mbalimbali wa utunzaji wa mazingira kuhakikisha Mazingira ya Manispaa yanakuwa safi na kutunzwa muda wote.

Kauli hiyo, imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambaye ni Diwani wa Kata ya Kihonda, Mhe. Hamisi Kilongo Julai 18/2024 katika ziara ya Kamati hiyo ya kutembelea Kata ya Mji Mkuu na Mwembesongo kuangalia maeneo ambayo yanawadhabuni wa taka na yale ambayo Kata husika wanatumia vikundi vyao vya ndani vya uzoaji wa taka.

"Tulikuwa na ndugu zetu Kampuni ya uzoaji taka Kajenjere na sasa hawapo tena na tumepata wadhabuni wapya kwenye maeneo yetu, kwahiyo ni niwajibu wa viongozi kusimamia suala la usafi wa mazingira, pia wananchi na wadau wa mazingira lazima wawajibike katika utunzaji wa mazingira ili kuliweka Mji wetu wa Manispaa katika hali ya usafi"Amesema Mhe. Kilongo.

"Mji wetu upo katikati, tuna miradi mikubwa sana ya kimkakati, ndoto yetu ni kuwa Jiji, hatuwezi kuwa Jiji kama Mji wetu utakuwa mchafu , tujipange sawasawa , tuhakikishe tunatunza mazingira ili iwe kama njia ya kuishukuru Serikali yetu ya Awamu ya Sita chini ya Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa maendeleo waliyotufanyia”Ameongeza Mhe. Kilongo.

Kwa upande wa Mjumbe wa Kamati hiyo ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mwembesongo Mhe. Ally Kalungwana , amesema Kata yake wamejipanga vizuri kuhakikisha Kata hiyo inakuwa safi kwa kushirikiana na wadhabuni wa taka waliokuwepo.

Naye Diwani wa Kata ya Mbuyuni, Mhe. Samweli Msuya , amesema Kata yake imejipanga vizuri kuhakikisha wananchi wake wanahudumiwa vizuri hususani katika suala zima la uzoaji wa taka.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa