• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI , ELIMU NA AFYA YAPONGEZA UJENZI MIRADI YA ELIMU NA AFYA KUKAMILIKA KWA WAKATI

Posted on: January 21st, 2023

KAMATI ya Huduma za Uchumi, Elimu na Afya Manispaa ya Morogoro imepongeza wataalamu pamoja na timu nzima ya Utawala ikiongozwa na Mkurugenzi wa Manispaa kwa kukamilisha miradi ya elimu na afya kwa wakati , ikiwemo ujenzi wa madarasa ya Pochi la Mama.

Pongezi hizo zimetolewa Januari 19/2023 na kamati hiyo iliyoongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Kingo, Mhe. Amini Tunda baada ya kukagua ujenzi wa madarasa ya shule za Sekondari na Msingi pamoja na miradi ya afya.

Akizungumza katika ziara hiyo juu ya ujenzi wa madarasa, Mhe. Tunda, amesema Manispaa ya Morogoro ilipokea Shilingi Bilioni 1.6 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa 81 kupitia fedha zijulikanazo kama Pochi la Mama ikiwa na lengo la kuinua kiwango cha taaluma na kufuta machaguo ya kwanza, pili na tatu kama ilivyozoeleka hapo awali.

Amesema Serikali inawajali wananchi wa Manispaa ya Morogoro na kwamba wameitendea haki fedha ya Serikali lakini pia wamekamilisha kwa wakati na kazi yao kuwa nzuri hali inayoashiria hakuna hata mwanafunzi mmoja ambaye atashindwa kuwasili darasani na kuanza masomo kutokana na uhaba wa madarasa kwenye halmashauri hiyo.

Pia, Wajumbe wa Kamati hiyo wamepongeza timu ya Utawala ya Manispaa inayoongozwa na Mkurugenzi wa Manispaa, Ally Machela, kwa kuongeza madarasa 2 kupitia mapato ya ndani na kuongeza madarasa katika fedha ya pochi la mama na kufanya jumla ya madarasa 83 jambo ambalo limeonesha jinsi gani Manispaa imeunga mkono juhudi za Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan , za kuboresha elimu kwani kazi za mapato ya ndani ni kutatua changamoto zinazowakabili wananchi.

Mhe. Tunda, amesema kwa mwaka wa fedha 2021/2022 Manispaa ya Morogoro kupitia mapato yake ya ndani kwa kipindi cha mwezi mmoja iliweza kukamilisha ujenzi wa madarasa 10 lengo likiwa ni kuongeza nguvu kwenye ujenzi wa madarasa.

Mwisho kamati hiyo, imeipongeza Menejimenti ya Manispaa kwa hatua nzuri ya Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya , kukamilisha ujenzi wa Zahanati 6 ambazo zote zimeanza kutoa huduma , ujenzi wa Vituo vya afya 2, Lukobe na Tungi ambavyo vipo katika hatua ya mwisho pamoja na Zahanati mpya ambazo ujenzi unaendelea.

Upande wa Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Jeremia Lubeleje, ameipongeza Serikali chini ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, .Dkt. Samia Suluhu Hassan kutoa fedha nyingi ili kujenga madarasa , ambapo awali aliipatia Manispaa Shilingi Bilioni 1.7 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa 86 ya UVIKO-19.

Matangazo

  • UJENZI WA SHULE YAA MSINGI MPYA KATIKA KATA YA MAFISA July 20, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA September 13, 2023
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023 KWA SHULE ZA MANISPAA YA MOROGORO July 14, 2023
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • WAZIRI SLAA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA SEKTA YA ARDHI MOROGORO

    September 22, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU ULIPAJI WA KODI ZA MABANGO

    September 20, 2023
  • WAAJIRIWA WAPYA WASEMINISHWA KUHUSU HAKI NA WAJIBU WAO

    September 19, 2023
  • WENYEVITI WA MITAA WAELIMISHWA KUHUSU UMILIKI WA ARDHI YA MAENEO YA MANISPAA

    August 11, 2023
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa