• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

MAADHIMISHO SIKU YA WAZEE DUNIANI YAFANA,RC MALIMA ATOA WITO MKALI KWA WANAOCHEZA NA STAHIKI ZA WAZEE.

Posted on: October 1st, 2024

MANISPAA ya Morogoro imeadhimisha siku ya wazee duniani huku Mkuu wa Mkoa wa Morogoro akitoa maagizo mazito kwa viongozi wa Serikali juu ya huduma na stahiki za wazee.

Maadhimisho hayo yamefanyika Makazi ya wazee Fungafunga Oktoba 01-2024 ambapo mgeni rasmia akiwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Mhe.Adam Malima.

Akizungumza na Wazee pamoja na wananchi ,RC Malima,amesema lengo la hafla hizi ni kuelimisha jamii haki na stahili mbalimbali zinazohitajika kwa wazee hao sanjari na kuwakumbusha wazee umuhimu wa uwepo wao katika jamii husika.

RC Malima,amesema serikali inatambua umri wa mzee ni kuanzia miaka 60 na kuendelea na kwamba kila mmoja anapaswa kutambua kuwa siku moja ataufikia uzee hivyo wazee wanapaswa waheshimiwe,watunzwe na kuenziwa.

“Nawasihi tutumie hekima na ushauri walionao wazee wetu na siyo kuanza kuwafanyia vitendo vya ukatili kwa kuwanyanyasa,kuwatenga na kuwaua kwa imani potofu,na serikali itaendelea kuchukua hatua kali za kisheria kwa watakaonyanyasa wazee kwa namna yoyote ile”Amesema RC Malima.


Katika hatua nyingine aliziagiza halmashauri za Mkoa wa Morogoro  ambazo hazijatekeleza zoezi la kutambua wazee na kuwapatia kadi za matibabu bila malipo pamoja na kutimiza matakwa yote ya stahiki za wazee.

"Kama kuna eneo ambalo kwangu litanikwaza ni kuchezea wazee,nawaagiza Wakurugenzi wote hakikisheni stahiki za wazee mnaizitekeleza ,kwani stahiki zao sio ombi ni lazima, na maafisa Tarafa na Kata kama nikija kwenye eneo lako harafu huna taarifa sahihi ya wazee hilo ni balaa lengine" Ameongeza RC Malima.

Aidha,RC Malima, amewahakikishia wazee kuwa mkoa wa Morogoro utaendelea kuhakikisha kuwa dawa zote za magonjwa ya wazee zinapatika kwenye vituo afya huku akiwataka wakurugenzi wa halmashauri kufanya ukaguzi wa dawa na fedha kwa kila robo ya mwaka.

Kuhusu suala la miundombinu ya barabara ,amesema tayari mkandarasi amepatikana na zaidi ya milioni 400 zimetengwa kwa ajili ya barabara na daraja ili kurahisisha huduma ya kufika katika makao hayo pamoja na maeneo mengine ya Taasisi na wananchi.

Maadhimisho ya siku ya wazee duniani Manispaa ya Morogoro yameenda sambamba na uzinduzi wa Jengo la Bwalo la kisasa la Makazi ya kulelea wazee Fungafunga.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa