• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

MADIWANI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA

Posted on: June 24th, 2024

MANISPAA ya Morogoro imefanya  ziara yake ya kimafunzo ya usimamizi wa miradi miradi ya maendeleo na ukusanyaji wa mapato katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya huku wakifurahishwa na Jiji la Mbeya jinsi lilivyojipanga katika kuwaletea maendeleo wananchi wao.

Ziara hiyo ya kimafunzo iliyoanza Juni 19-2024 imehitimishwa Juni 21-2024 ambapo Madiwani wa Manispaa ya Morogoro wamesema yale mazuri yote ambayo wenzao wamekuwa wakiyafanya wataenda kuyafanyia kazi.

Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa ziara hiyo, Meya wa Manispaa ya Morogoro, Mhe. Pascal Kihanga, amesema ziara hiyo imekuwa na mafanikio makubwa sana ambapo wanaamini wakishirikiana kwa pamoja wataalamu na Madiwani yale ambayo  yamefanywa na  Jiji la Mbeya na wao wataweza kuyafanya na kufikia ile ndoto ya kuwa Jiji.

“Tumefika Jiji la Mbeya ,wenzetu wapo mbali sana , hata kwenye mapato wenzetu wana Bilioni 19 , lakini ndoto yetu ya kuwa Jiji inakaribia kwani hata hawa walivyokuwa Jiji hata mapato yao yalikuwa yanalingana na sisi japo sio sana , sisi mwaka unaoisha wa Bajeti 2024-2025 tunatarajia kufikia Bilioni 15 utaona ni kwa jinsi gani tunasogelea sifa ya kuwa Jiji”Amesema Kihanga.

Kuhusu ukusanyaji wa mapato,Mhe. Kihanga, amesema kuwa wataongeza nguvu katika vyanzo vyote vya mapato  ili waweze kutimiza malengo ya bajeti.

Upande wa vitega uchumi, Mhe. Kihanga anaamini kuwa vitega uchumi vilivyopo Manispaa ya Morogoro vikiongezewa umakini wa hali ya juu kuvitangaza na kukusanya vizuri mapato bado vitakuwa na msaada mkubwa wa kuongeza mapato kama wanavyofanya Jiji la Mbeya.

Aidha, ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Mbeya ilivyojipanga katika suala zima la usafi jambo ambalo limekuwa likisumbua Manispaa ya Morogoro.

“Wenzetu kwenye usafi wametuacha mbali sana , kuanzia uzoaji wa taka, ukusanyaji wa mapato, wenzetu wamejikita sana kulinda dampo la taka na kulisimamia lakini kuhusu ukusanyaji wa taka wameviachia vikundi kazi na makampuni jambo ambalo kwetu sisi tumebakia kusimamia dampo na ukusanyaji wa taka , kuna chakujifunza tutakaa na wataalamu wangu na madiwani tutaona na sisi namna ya kuboresha ili Mji wetu ambao ni Jiji tarajiwa liwe safi kama ilivyo kwa wenzetu wa Jiji la Mbeya” Ameongeza Mhe. Kihanga.

Maeneo ambayo ziara ili lenga ni ujifunzaji wa mfumo wa udhibiti wa taka ngumu, ukusanyaji wa mapato na ujenzi wa vitega uchumi.

Miongoni mwa maeneo ambayo yemetembelewa katika ziara hiyo ni Shule ya Msingi ya kulipia ya Azimio Pre & Primary inayomilikiwa na Halmashauri ya Jiji la Mbeya, kitega uchumi cha City Park, Soko la Mwanjelwa, Shule ya Msingi Mkapa, Kiwanda cha usindikaji na mbogamboga kilichopo Iyela, Hospitali ya Igawilo Pamoja na Dampo la Nsalaga.



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa