• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

MANISPAA YA MOROGORO YAADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI.

Posted on: December 1st, 2024

KILA ifikapo Desemba Mosi,Dunia huadhimisha siku ya UKIMWI, lengo likiwa ni kuikumbusha Jamii kuhusu ugonjwa huu, kutafakari hatua zilizopigwa katika kukabiliana nao, kukumbuka na kuenzi mamilioni ya watu waliopoteza maisha kutokana na ugonjwa huu, lakini pia kutoa elimu na kuweka mikakati ya pamoja katika kudhibiti na kutokomeza VVU/UKIMWI.

Kuelekea kilele cha maadhimisho hayo leo Desemba 01, 2024 ,Manispaa ya Morogoro imeadhimisha siku ya UKIMWI Duniani ,maadhimisho hayo yamefanyika Zahanati ya Malipula Kata ya Chamwino na kuhudhuriwa na Viongozi, Taasisi pamoja na Asasi mbalimbali

Akizungumza wakati wa hotuba yake, Meya Manispaa ya Morogoro , Mhe. Pascal Kihanga , ambaye pia alikuwa mgeni rasmi, ametoa wito kwa asasi mbalimbali na Taasisi za Serikali na binafsi kuendelea kuelimisha jamii hasa kundi la vijana, kwakuwa maambukizi yanazidi kuongeza kasi kwa kundi hilo.

Meya Kihanga, ameonesha kuchukizwa na shughuli za mtaani almaarufu kama 'vigodoro', sababu zimekuwa chanzo cha kuleta maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI,ambapo amewataka viongozi katika serikali za Mitaa kudhibiti shughuli hizo.

"Tunatambua uhuru wa watu kufurahi, lakini furaha za kutuangamiza hazitufai, popote wanapofanya haya mambo wachukuliwe hatua za kisheria"Amesema Kihanga.



Halkadhalika amekemea unyanyapaa kwa waathirika wa virusi vya UKIMWI, badala yake jamii iendelee kuwapenda, kushirikiana nao, na kuwasaidia kwa kadri inavyowezekana.


Katika hatua nyingine, Mhe.Kihanga, amesema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau katika kuhakikisha afua zote za kupambana na virusi vya UKIMWI zinapewa kipaumbele, sambamba na kutoa utaratibu wa utoaji mikopo kwa makundi ya Vijana, Wanawake na watu wenye Ulemavu.




Mwisho amepongeza na kushukuru wadau wote walioshiriki kufanikisha maadhimisho ya siku hiyo muhimu,na kuwataka wananchi wa Manispaa ya Morogoro kujiwekea utaratibu wa kupima afya katika kutokomeza UKIMWI ili kuishi kwa furaha.

Maadhimisho hayo yaliyobeba kauli mbiu " Chagua njia sahihi kutokomeza UKIMWI.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa