• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

MANISPAA YA MOROGORO YAENDESHA ZOEZI LA UKUSANYAJI TAARIFA ZA ANWANI ZA MAKAZI KWA KATA 8

Posted on: January 21st, 2022

HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro, imeendesha zoezi la ukusanyaji wa Taarifa za anwani za makazi katika Kata 8 kati ya Kata 29 zilizopo katika Manispaa

Akizungumza katika mafunzo ya kujenga uelewa kwa viongozi, watendaji na wataalam wa Mkoa wa Morogoro kuhusu mfumo wa anwani za makazi na postikodi, Mratibu wa zoezi hilo Manispaa ya Morogoro , Jackline Mushi, amesema zoezi hilo lilianza tarehe Desemba 19/2022 hadi Desemba 23/2022.

Mushi, amesema kuwa zoezi hilo lilifanikiwa kwa ushirikiano mzuri walioupata kutoka Ofisi za Kata , Mitaa na Wenyeviti wa Mitaa husika.

Aidha, amesema katika zoezi hilo jumla ya Anwani 4437 zilikusanywa katika Kata 8 ambazo zoezi hilo lilifanyika.

“Tumefanya zoezi hili kwa ushirikiano mkubwa wa Ofisi za Kata husika, kwakweli tumefanikiwa kwa asilimia kubwa , huduma zote zinazopatikana katika kata hizi 8, zipo katika Mfumo wa Anwani za makazi (NAPA), lakini tutahakikisha tunafikia kata zote 21 zilizobakia ” Amesema Mushi.

Kata ambazo zimefanya zoezi hilo ni pamoja na Kata ya Boma, Mji Mkuu, Mlimani, Mbuyuni, Sultan Area, Kingo, Mji Mpya , na Kata ya Sabasaba.

Amesema kuwa matarajio yao ni kubandika namba katika nyumba zilizowekwa Anwani za makazi katika Kata 8 ambapo namba zipo na mchakato wa kuzibandika unaendelea, kuhamasisha wadau mbalimbali katika kuchangia zoezi la uwekaji Anwani za makazi, kuendelea na zoezi uwekaji wa Anwani za makazi katika Kata 21 zilizobakia pamoja na Halmashauri kuipa kipaumbele katika kutenga vifungu katika bajeti za kila mwaka za utekelezaji wa Anwani za makazi.

Mwisho, ametoa shukrani za dhati na za kipekee kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kufanikisha uwekaji wa Anwani za Makazi na kuiomba Wizara ya Habari kuendelea kutoa ufadhili ili kufanikisha zoezi hilo.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa