• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

MANISPAA YA MOROGORO YATOA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WA MIKOPO YA ASILIMIA 10 NGAZI YA KATA,ZAIDI YA MILIONI 827 ZIMETENGWA KUTOLEWA .

Posted on: October 15th, 2024

MANISPAA ya Morogoro imeendesha mafunzo kwa wataalamu na  wasimamizi wa Mikopo ngazi ya Kata yanayolenga  kuwajengea  uwezo wa kusimamia utoaji wa Mikopo ya 10% ya mapato ya ndani ya Halmashauri kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu  Walemavu.

Akizungumza na wataalamu hao, Mkuu wa Divisheni ya  Maendeleo ya Jamii Manispaa ya Morogoro, Faraja Maduhu,  amesema lengo Kuu la Mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo Wataalamu ambao wataenda kutoa Elimu na hamasa kwa Jamii juu ya uundaji Vikundi vyenye sifa ya kupata huduma hiyo ya Mikopo lakini pia kusimamia marejesho ya Mikopo hiyo.

Maduhu,amesema Manispaa ya Morogoro kipindi cha mwaka wa fedha 2024-2025 katika robo ya pili imetenga jumla ya milioni 827,022,718.41 .kwa ajili ya kutoa mikopo ambayo inatarajia kuanza kutolewa Novemba 2024.

"Serikali imeamua kurejesha  mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu iliyokuwa imesitishwa hapo awali , kwahiyo kwa mafunzo haya tunaamini timu zenu za wataalamu mtaenda kufanya kama miongozo ya utoaji hii mikopo inavyotaka, niwaombe wataalamu wetu, nendeni mkachakate vikundi vyenu ili muone  vikundi gani vyenye sifa muweze kuvipatia mikopo" Amesema Maduhu.


“Mikopo hii ilisimama mwaka jana lakini mwaka huu 2024 tumekuwa na muongozo mpya wenye kanuni mpya hivyo tunapitia muongozo pamoja na kanuni zote ili wasimamizi hawa wawe tayari kwa ajili ya kuhamasisha vikundi, kuunda vikundi pamoja na kuwaongoza katika suala zima la kuomba mikopo hii ambayo ni asilimia 10 za mapato zinazotengwa na halmashauri" Ameongeza Maduhu.

Aidha,Maduhu,amesema baada ya Mafunzo haya, Wataalamu  wataenda kufanya mikutano katika Kata zao kuhamasisha Jamii kuanzisha Vikundi vitakavyoweza kunufaika na Mikopo ya 10% ya mapato ya Halmashauri.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa