• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu, na Usimamizi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Teknolojia ya Habari, Mawasiliano na Uhusiano
      • Kitengo cha Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

MANISPAA YA MOROGORO YAZINDUA MASHINDANO UMITASHUMTA.

Posted on: June 14th, 2022

MANISPAA ya Morogoro imezindua rasmi mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA).

Uzinduzi huo umefanyika Juni 10, 2022 kwenye viwanja vya shule ya Sekondari Lupanga kata ya Kilakala kwa kuwashirikisha wanamichezo kutoka shule zote za Msingi ndani ya Manispaa hiyo na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa vyama vya michezo pamoja na walimu kutoka shule hizo.

Akifungua mashindano hayo ,Justine Mkurya, ambaye ni Mgeni rasmi wa uzinduzi huo akimwakilisha Mkurugenzi wa manispaa ya Morogoro, amesema kuwa lengo kubwa la mashindano hayo ni kuunda timu kubwa ya Halmashauri itakayowezesha kuleta ushindani.

“leo ndio tunafungua rasmi mashindano haya na lengo kubwa la mashindano hayo ni kuunda timu kubwa na bora katika Halmashauri yetu kwenye michezo yote kwahiyo ombi langu kwenu, kila mmoja ashiriki kikamilifu katika eneo alilopangiwa ili tuweze kupata timu bora ya Manispaa ambayo itaenda kutuwakilisha vizuri kwenye mashindano ya Mkoa ambayo mwaka huu Kimkoa yatafanyika ndani ya eneo letu hivyo msituangushe” Amesema Mkurya

Aidha,Mkurya, amewaasa walimu waliopewa dhamana ya kuunda timu ya Manispaa kuacha kuchagua wanamichezo kwa upendeleo

“Niwasihi walimu mliopewa dhamana ya kuunda timu ya Manispaa kuacha tabia ya kuchukua wanamichezo kwa upendeleo, undeni timu kadri mwanafunzi mwenyewe anavyoonesha kipaji chake katika michezo, ili tupate timu imara katika fani zote na tuweze kushiriki kimkoa na hata kitaifa” Ameongeza Mkurya.

Pia wanamichezo hao ambao ni wanafunzi kutoka shule mbalimbali za Msingi ndani ya Manispaa hiyo wametakiwa kuhakikisha kwamba wanakuwa na nidhamu na kujituma katika eneo walilopangiwa katika kipindi chote cha michuano hiyo ili wawe miongoni mwa watakao unda timu ya Manispaa badae kimkoa na kufika kitaifa.

Kwa upande wa Afisa Michezo Manispaa ya Morogoro, Asteria Mwang'ombe, amewataka Waalimu wa michezo Manispaa ya Morogoro kutumia michezo ya UMITASHUMTA kuibua vipaji kupitia hazina ya Vijana wadogo waliopo katika shule za Msingi wenye uwezo mkubwa katika michezo mbalimbali.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA MOROGORO May 23, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA WATENDAJI WA MITAA DARAJA LA TATU TAREHE 20/6/2020 June 12, 2020
  • TANGAZO LA UCHAGUZI MKUU October 20, 2020
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWAN TAREHE 19.08.2021 August 18, 2021
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • WADAI FIDIA VIWANJA 3000 MANISPAA YA MOROGORO KUHAKIKIWA UPYA

    June 20, 2022
  • MANISPAA YA MOROGORO YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO AFRIKA

    June 16, 2022
  • MAADHIMSIHO SIKU YA MTOTO WA AFRIKA KATA YA MAFIGA YAFANA

    June 14, 2022
  • MANISPAA YA MOROGORO YAZINDUA MASHINDANO UMITASHUMTA.

    June 14, 2022
  • Angalia Yote

Video

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI MANISPAA YA MOROGORO WAZIRI KOMBO ATANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA ULIOFANYIKA NOV.24/2019.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa