• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

MBUNGE ABOOD AMKABIDHI MKURUGENZI WA MANISPAA GARI LA KUBEBEA WAGONJWA

Posted on: February 9th, 2024

Mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini mheshimiwa Abdul-Aziz Abood, amemkabidhi Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro gari la kubebea wagonjwa (ambulance) lililotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutoa huduma kwenye Hospitali ya Wilaya ya Morogoro iliyopo kata ya Mkundi.

Wakati wa makabidhiano hayo, mheshimiwa Abood amemtaka Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro kuhakikisha gari hilo linakwenda kutumika kufanya kazi iliyokusudiwa na si vinginevyo.

“Tumshukuru sana Rais Samia kwani sio gari tu bali hata vifaa tiba na pesa nyingi za ujenzi wa Vituo vya Afya, Zahanati na Hospitali ametuletea na bado tutaendelea kuletewa ili kukamilisha maeneo mengine ya sekta ya afya.

“Niombe Mkurugenzi kwamba gari hili lisijetumika kama gari la ofisi, badala yake litumike kwa kazi iliyokusudiwa” alisisitiza mheshimiwa Abood.

Naye Mkurugezi wa Manispaa ya Morogoro ndugu Ally Machela, amemshukuru sana mbunge Abood kwa misaada mbalimbali anayoitoa katika sekta ya afya ikiwemo magari manne ya kubebea wagonjwa ambayo mbunge huyo aliyanunua na tayari yanatumika kwenye vituo vya afya na Zahanati za Manispaa.

“Tumeona kule kwenye kituo cha afya cha Tungi ulipeleka vifaa vya maabara, Zahanati ya K- Ndege na Hospitali ya Wilaya pia. Leo kwa juhudi zako tumepata gari hili.  Kwa kweli mheshimiwa mbunge unatupatia menejimenti unafuu wa utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi katika shughuli za afya” alieleza kwa furaha ndugu Machela.

Gari la kubebea wagonjwa (ambulance) lililotolewa leo linaifanya Manispaa ya Morogoro kuwa na jumla ya magari sita ya namna hiyo, manne yakiwa ni kutoka kwa mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini, mheshimiwa Abood, na mawili yakiwa ni kutoka Serikali Kuu.

Aidha, gari lililo kabidhiwa leo kwa Manispaa, linatarajiwa kuhudumia kata nne ambazo ni Mkundi, Lukobe, Kihonda, na Mafisa.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa