• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

MGANGA MKUU MANISPAA MOROGORO AWAONYA WAMILIKI WA ZAHANATI ZISIZO ZINGATIA SHERIA

Posted on: December 22nd, 2020

MGANGA Mkuu wa Manispaa Morogoro, Dr Ikaji Rashidi, amewaonya wamiliki wa Zahanati  ambazo zimekuwa zikiendesha huduma bila kuzingatia sheria hususani katika suala zima la usajili.

Kauli hiyo ameitoa Desemba22/2020 wakati wa ziara ya kukagua Zahanati zinazomilikiwa na watu binafsi.

Akizungumza Kuhusu Zahanati hizo amewataka Wamiliki wa Zahanati zote ambazo hazijasajiliwa wafike Ofisi Kuu ya Mganga wa Manispaa kwa ajili ya kupata usajili kabla ya yeye kuchukua hatua Kali ya kisheria. Dr Ikaji amesema Wananchi wamekuwa wakiwaamini Sana Wataalamu hao lakini huduma inayotolewa hazizingatii afya ya mteja.

Amesema katika ziara yake amebaini kuwa Zahanati nyingi zimekuwa zikitoa huduma bila kuzingatia usajili Jambo ambalo ni kinyume na utaratibu wa Sheria za afya.

" Nimefanya ziara hii baada ya kubaini Kuna Changamoto katika Zahanati hizi zinazomilikiwa na watu binafsi, lakini wamekuwa wakitoa huduma bila usajili, niombe wamiliki wote wafike Ofisi ya Mganga Mkuu wa Manispaa kwa ajili ya kupatiwa usajili, sisi tunaziara kubwa ya Kimkakati tunaendelea kubaini Zahanati ambazo zimekuwa zikiendesha huduma za afya kwa vunja sheria, tufanyeni kazi kwa kuzingatia sheria, tunawatibu binadamu lazima tuzingatie Taaluma zetu, Kama umeshindwa kusajili, funga sio lazima utoe hii huduma " Amesema Dr Ikaji.

Amesema kuwa miongoni mwa changamoto alizokumbana nazo ni pamoja na Darubini kutofanya kazi, hakuna chombo Cha kusafishia vifaa vya maabara, stoo za dawa kutumika Kama duka la dawa, Mazingira mabovu ya miundombinu pamoja na Maeneo ya kuhifadhia taka.

Mwisho, amewataka Wamiliki wote wa Zahanati wazisajili ili waweze kutoa huduma Bora kwa wananchi kwa kuzingatia sheria na kanuni za afya.

Miongoni mwa Zahanati zilizofungiwa kutokana na makosa Ni pamoja na Zahanati ya BMG kata ya Mafiga, Maabara ya ijue afya yako.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa