• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu, na Usimamizi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Public Relation
      • Kitengo cha Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

MKURUGENZI MANISPAA MOROGORO ATAKA JAMII KUPINGA UKATILI WA AINA ZOTE ILI KUFIKIA MALENGO YA KUWA NA KIZAZI CHENYE USAWA

Posted on: December 7th, 2022

Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Ally Machela, ameitaka jamii kuhakikisha inapinga ukatili wa aina zote ili kufikia malengo ya kuwa na kizazi chenye usawa kati ya wanawake na wanaume.

Kauli hiyo ameitoa hivi karibuni , ikiwa ni kuelekea kilele cha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ambapo kilele chake kitafanyika Desemba 10/2022.

Akizungumza kuelekea kilele cha Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia , Machela, amesema kuwa maswala ya ukatili wa kijinsia yanaleta madhara makubwa katika jamii yasipo shughulikiwa ipasavyo,hivyo kila mwana jamii anawajibu wa kuhakikisha ukatili wa kijinsia unatokomezwa kwa kutoa taarifa kwenye vyombo husika kwa hatua zaidi.

Machela, emesema Manispaa imejipanga kupambana na ukatili wa kijinsia kwa kuanza kupita kwenye mitaa na kata kwa maeneo yote ya Magulio, vituo vya usafiri na nyumba za ibada kwaajili ya kutoa elimu ya kupinga ukatili wa kijinsia.

" Ukatili wa kijinsia ni moja kati ya vitu vinavyopelekea mipango na ndoto za watu wengi hususani wanawake na watoto kushindwa kufikia ndoto zao hivyo ameiasa jamii kuacha vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto" Amesema Machela.

Katika kuona wanawake wanajikomboa kiuchumi na kuepukana na matendo ya ukatili dhidi yao , amesema kuwa Manispaa ya Morogoro, imeendelea kutenga fedha za asilimia 10 katika mapato yake ya ndani kuwawezesha kiuchumi wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu kwa kutoa mikopo isiyo na riba pamoja na kuwapatia mafunzo ya stadi za biashara kwa wajasiriamali.

 

Kauli mbiu ya Siku 16 za kupinga Ukatili wa Kijinsia mwaka 2022 " kila uhai una thamani tokomeza mauaji na ukatili dhidi ya wanawake na watoto’’

 

Matangazo

  • TANGAZO LA UUZWAJI VIWANJA ENEO LA KIEGEA A NA B December 02, 2022
  • ORODHA YA MADEREVA NA WATENDAJI WA MITAA DARAJA LA III WALIOITWA KUFANYA USAILI TAREHE 29/08-1/09/2022 August 22, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 06, 2022
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • WATENDAJI WA KATA 29 MANISPAA YA MOROGORO WASAINI MKATABA WA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA AFUA ZA LISHE

    January 25, 2023
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YAAHIDI KUBORESHA MIPANGO KAZI NGAZI YA KATA.

    January 23, 2023
  • MANISPAA YA MOROGORO YAKABIDHI VISHIKWAMBI 1259 KWA WAALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI. DC MSANDO ATOA NENO.

    January 23, 2023
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI , ELIMU NA AFYA YAPONGEZA UJENZI MIRADI YA ELIMU NA AFYA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    January 21, 2023
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa