• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

MKURUGENZI MANISPAA MOROGORO AWATAKA WATENDAJI KATA KUHAKIKISHA MABOMA YA MADARASA YANAKAMILIKA KWA WAKATI ILI WANAFUNZI WALIOFAULU WAINGIE DARASANI

Posted on: December 21st, 2020

MKURUGENZI wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba, amewatakaWatendaji wa Kata kuhakikisha wanasimamia kikamilifu ukamilishwaji wa Mabomayote ya Shule ikiwemo Msingi na Sekondari ili wanafunzi waliofaulu waingiedarasani.

Kaulihiyo, ameitoa leo Desemba 21,2020 katika Shule ya Sekondari Kihonda  ,wakati wa ziara ya kukagua Maboma yanayotakiwa kukamilishwa kwa ajili yakuwapokea wanafunzi wa kidato cha kwanza waliofaulu.


Akizungumza na Waandishi wa habari, Lukuba, amesema kuwa huu sio wakati wakuangalia pesa imeingia katika akaunti ya Kata au ya Shule kikubwa ni kasi yaujenzi iongezwe ili madarasa yakamilike kwa wakati na Wanafunzi wasome wakiwawamekaa katika madawati bila msongamano.

Lukuba,katika ziara hiyo amewasisitizia mafundi kwenda na kasi kubwa ili wanafunziwaanze kuyatumia madarasa hayo katika kupunguza msongamano darasani. 

‘’ifikewakati sisi jamii ndio tuwe wa kwanza kuanzisha miradi kisha ndio serikaliiwekeze nguvu zake, nimekuja kuona maagizo ya Waziri Mkuu yanatekelezwaje, lakini nitoe rai kwa Watendaji wote wa Kata kwa kushirikianana , Watendaji wa Mitaa, kuwahimiza Wazazi na Wananchi kuongeza kasi yauhamasishaji katika kufanikisha ujenzi wa Maboma , agizo hili ni la Serikalitunatakiwa kulifanyia kazi kwa haraka, Baada ya tamko la Mhe. Rais la elimubure bila malipo Wazazi wamehamasika na kuwa na mwamko wa kusomeshaWatoto  na Watoto wamefaulu hivyo ni wajibu wetu kuona Watoto hawa wotewaliofaulu ifikapo Januari 11/ 2021 wanaingia darasani , wanafunzi wetu wanauhaba wa madarasa hatutaki mrundikano, tunataka yakamilike wanafunzi wasomekatika mazingira ya kuachiana nafasi ili kuongeza kasi ya ufaulu, ukiwa katikamazingira mabaya hata ile hali ya ufundishaji inashuka, kazi nimeionainaendelea lakini ongezeni kasi tumalize kazi mapema" Amesema Lukuba.

Lukuba, amesema kuwa Jamii inaposhiriki ipasavyo kwa vitendo katika ujenzi wamiundo mbinu ya elimu huwa chachu ya kupata kilicho bora kabisa maana jamiihuwa na uchungu nacho kutokana kuwekeza nguvu zao na huwa walinziwakubwa. 


Mwisho ametoa wito kwa wananchi wote wa Manispaa ya Morogoro kuwa tayarikujitolea kwa hiari katika miradi ya maendeleo hususani katika Ujenzi wa Mabomaya Madarasa.

Shuleya Sekondari Kihonda ni miongoni mwa Shule iliyoingiziwa Shilingi Milioni 80,ambapo milioni 20 ni kwa ajili ya umaliziaji wa maboma 3 na shilingi milioni 60kwa ajili ya ujenzi wa Madarasa mapya 3 kwani inategemea kupokea jumla yawanafunzi wa kidato cha kwanza  700.

 

Ikumbukwekuwa Jumla ya Wanafunzi waliofanya mtihani Darasa la saba ni 8401, Wasichana4336, Wavulana 4062 ambapo katika idadi hiyo jumla ya Wanafunzi 7577 walifaulumitihani miongoni mwao wasichana 3927, wavulana 3650 sawa na asilimia 90.22% yawanafunzi wote waliofaulu.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa