• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

SUALA LA UPATIKANAJI WA CHAKULA MASHULENI IWE NI SHIRIKISHI ZAIDI-SAGARA.

Posted on: August 18th, 2024

Mwakilishi wa  Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Hilary Sagara, amesema suala la utoaji lishe shuleni liwe shirikishi katika jamii kwa kila mmoja kushiriki kwa kuhakikisha inakuwa ni ajenda ya kudumu kwa lengo la kuimarisha na kujenga afya za wanafunzi ili waweze kupata chakula pindi wawapo shuleni jambo litakalosaidia wanafunzi kupata elimu kwa kuzingatia masomo yao vizuri.

Hayo ameyasema katika Kikao cha Tathmini ya Lishe kilichofanyika katika Ukumbi wa Manispaa ya Morogoro Ofisi Kuu Agosti 16-2024.

Sagara, amesema kuwa suala la lishe ni shirikishi kwa jamii nzima kwani upatikanaji wa chakula hutegemea na aina ya chakula kinachopatikana katika maeneo husika, hivyo si lazima chakula kiwe ni mahindi na maharage bali ukusanyaji wa vyakula uzingatie nyakati na upatikanaji wake katika maeneo husika.

Meya wa Manispaa ya Morogoro, Mhe. Pascal Kihanga, amesisitiza watendaji wa kata kushirikiana kwa ukaribu na jamii husika na uongozi wa Mitaa kwa kuwa na vikao vya pamoja ili kupata suluhu ya upatikanaji wa chakula shuleni kwa watoto wote ikiwemo kutumia mbinu mbalimbali za ushawishi ili kutekeleza agizo la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan la upatikanaji wa chakula shuleni na kwamba kwa agizo hili kila mtendaji atapimwa namna anavyotekeleza agizo hili.

Kwa upande wa Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Christopher Komba, amesema kuwa watendaji wa kata wamepewa dhamana ya kuongoza katika maeneo yao hivyo wanalo jukumu la kusimamia utekelezaji wa agizo la upatikanaji wa chakula mashuleni ni vyema wakazingatia zaidi mazingira ya maeneo yao ili kuleta matokeo mazuri kwa kuzingatia zaidi matumizi ya njia shirikishi kwa jamii  husika kushiriki kwa ukubwa zaidi kutoa mawazo yao kupitia mikutano ya Mitaa na kamati za shule jambo litakaloleta tija kwa wanafunzi .

Mkuu wa Divisheni ya Afya Dkt.Maneno Focus, amesema Divisheni ya Afya inaendelea kusimamia suala la lishe na utekelezaji wa agizo la Mhe.Rais  Dkt.Samia Suluhu lakini pia inaendelea kutoa elimu ya usafi wa afya na mazingira katika maeneo mbalimbali huku akitoa rai kwa watendaji kuendelea kuhamasisha suala la usafi wa mazingira kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ikiwemo majumbani na maeneo ya biashara ili kujiepusha na magonjwa ya mlipuko ikiwemo ugonjwa wa kipindupindu.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa