• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu, na Usimamizi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Teknolojia ya Habari, Mawasiliano na Uhusiano
      • Kitengo cha Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

WADAI FIDIA VIWANJA 3000 MANISPAA YA MOROGORO KUHAKIKIWA UPYA

Posted on: June 20th, 2022

MANISPAA ya Morogoro ipo mbioni kufanya zoezi la kuhakiki upya wananchi wanaodai fidia ya Viwanja 3000.

Kauli hiyo imetolewa leo Juni 20/2022 na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro , Mhe. Martine Shigela, katika Mkutano wa kupitia taarifa ya utekelezaji wa Mdhibiti na Mkaguzi wa hesabu za Serikali (CAG) za mwaka wa fedha 2020/2021 katika Ukumbi wa Kilakala Soko Kuu la Chifu Kingalu Morogoro.

Akizungumza katika Mkutano huo, RC Shigela, ameitaka Manispaa ya Morogoro kuunda kamati ndogo ya kufuatilia wadai wa fidia ili kujiridhisha na kupata uhakika wa idadi hiyo kama ya kweli au la.

"Nimeona hili niliseme, tunazungumzia tuu viwanja 3000 lakini je watu hao wapo kweli? sasa niagize Manispaa undeni kamati ndogo ikishirikisha wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na baadhi ya Madiwani kamati ya Mipango Miji mjiridhishe hiyo idadi ya wadai ipo sawa au la, tukikuta imepungua itakuwa ni faida kwetu na tunaweza kupata nyongeza nyingine ya viwanja tukaviuza" Amesema RC Shigela.

RC Shigela, amesema viongozi kutokuwa waaminifu ndio sababu iliyopelekea kuwa na madeni makubwa ya Viwanja vya fidia, hivyo amewataka Viongozi kusimamia kikamilifu sheria ya mipango miji ili kusiendelee kujitokeza makosa kama hayo.

" Leo tuna Viwanja 6500 sisi Manispaa, lakini tunadeni la Viwanja 3000, hapa kama tungekuwa hatuna deni na tungeuza hivyo viwanja 3000 kwa makadirio ya chini ya kila kiwanja 1,000,000/= tungekuwa na Bilioni 3, sasa angalieni fedha hizi tumezipoteza kwa ajili ya uzembe na kuwa na viongozi wasio waaminifu, hili lisijirudie tena katika Mkoa huu wa Morogoro" Ameongeza RC Shigela.

Upande wa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Albert Msando, amesema atasimamia zoezi hili kikamilifu la kuhakikisha wale wadai wote wa fidia wanatambulika na wanapata haki zao.

Naye Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro ,Mhe. Pascal Kihanga, amepongeza hatua iliyochukuliwa na Mkuu wa Mkoa na kuahidi kushiriki kikamilifu kuhakikisha zoezi hilo linazaa matunda na kufanikiwa kwa asilimia 100.

Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro , Ally Machela, amesema kati ya hekari hizo 4500, katika utekelezaji wake , Manispaa ya Morogoro itapata asilimia 45% ya viwanja vitakavyozalishwa na asilimia 55% itabaki kwa Wananchi wa eneo la Star City.



Machela, amesema fedha zitakazopatikana kama faida baada ya kuuza viwanja zitaiwezesha Halmashauri kuendeleza shughuli za upangaji , upimaji na umilikishaji wa viwanja katika maeneo mengine ya mji.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA MOROGORO May 23, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA WATENDAJI WA MITAA DARAJA LA TATU TAREHE 20/6/2020 June 12, 2020
  • TANGAZO LA UCHAGUZI MKUU October 20, 2020
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWAN TAREHE 19.08.2021 August 18, 2021
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • WADAI FIDIA VIWANJA 3000 MANISPAA YA MOROGORO KUHAKIKIWA UPYA

    June 20, 2022
  • MANISPAA YA MOROGORO YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO AFRIKA

    June 16, 2022
  • MAADHIMSIHO SIKU YA MTOTO WA AFRIKA KATA YA MAFIGA YAFANA

    June 14, 2022
  • MANISPAA YA MOROGORO YAZINDUA MASHINDANO UMITASHUMTA.

    June 14, 2022
  • Angalia Yote

Video

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI MANISPAA YA MOROGORO WAZIRI KOMBO ATANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA ULIOFANYIKA NOV.24/2019.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa