• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

WATAHINIWA 10404 KUFANYA MITIHANI YA KUMALIZA DARASA LA SABA MANISPAA YA MOROGORO.

Posted on: September 10th, 2024

JUMLA ya watahiniwa 10404  wanatarajiwa kufanya mtihani wakumaliza elimu ya msingi katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro  ambao unafanyikanchini kote Septemba11-12 siku ya Jumatano na Alhamisi mwaka 2024.

Hayo yamesemwa  na  Mkuu wa Divisheni ya Elimu Msingi na Awali Manispaa ya Morogoro, Fabian Gregory akiwa Ofisini kwake leo Septemba 9-2024.

Gregory amesema kuwa jumla ya shule za msingi 110 zikiwemo Shule za Serikali na Shule binafsi zinatarajia kufanya mitihani hiyo .

Akizungumzia kuhusu maandalizi, amesema  maandalizi yanakwenda vizuri  na kuwa vituo vya kufanyia mitihani vipo tayari.

Amesema kuwa katika mitihani hiyo, Shule za Serikali ni 72 na shule binafsi 38 huku wanafunzi wa kike wakiwa 5453 na wakiume wakiwa 4951.

“Sisi kama Idara ya Elimu tunaamini tumewaandaa vizuri wanafunzi na wamepata mafunzo kutoka kwa walimu wao hivyo tunatarajiakuwa watafanya vizuri mitihani yao,”Amesema Gregory.

Aidha, Gregory, amewataka  wanafunzi wanaotarajiwa kufanya mitihani hiyo kuwa watulivu na kujibu maswalim inavyopaswa.

Hata hivyo,amesema kuwa  mitihani hiyo nisehemu ya kuwapima uelewa wantahiniwa hao katika kipindi cha miaka saba waliyokuwa shuleni na watakao faulu watajiunga na kidato cha kwanza mwakani 2025.

"Naendelea kuwasihi wanafunzi wa darasa la saba kutokuwa na hofu na hivyo wanapokuwa kwenye vyumba vya mitihani wayapitie na kuyasoma vizuri maswali na kuyajibu inavyotakiwa|" Ameongeza Gregory.

Mitihani ya darasa la saba kitaifa inahusisha masomo mbalimbali yakiwemo ya Hisabati, Kiswahili, Kingereza, Maarifa ya Jamii na Sayansi ambayo inatarajiwa kufanyika kwa siku mbili mfulululizo.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa