• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

Msingi

DIVISEHENI YA ELIMU YA AWALI NA MSINGI

Lengo

Kupanga na kusimamia utekelezaji wa sera na mijadala inayohusu utoaji wa elimu ya awali, msingi, mahitaji maalum na elimu isiyo rasmi.

Majukumu

Divisheni hii inatekeleza majukumu yafuatayo:-

  • Kupanga upatikanaji, usambazaji na utumiaji wa rasilimali katika shule za msingi;
  • Kusimamia usimamizi wa tathmini endelevu na mitihani ya Taifa ya shule za msingi;
  • Kusimamia utoaji wa elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi katika ngazi za elimu ya awali na msingi;
  • Kuratibu elimu ya stadi za maisha katika shule za msingi;
  • Kuendesha tathmini ya mahitaji kwa elimu ya mahitaji maalum, watu wazima na elimu isiyo rasmi;
  • Kutoa ushauri kuhusu uanzishaji na uendelezaji wa vituo vya elimu ya mahitaji maalum, watu wazima na elimu isiyo rasmi;
  • Kufuatilia utekelezaji wa mipango na program za elimu ya msingi;
  • Kutengeneza na kuendeleza kanzidata ya elimu ya awali nay a msingi; na
  • Kuratibu na kusimamia shughuli za michezo na burudani katika shule za msingi.

Divisheni hii inaongozwa na Mkuu wa Divisheni na ina Seksheni nne kama ifutavyo:-

  • Seksheni ya Taaluma;
  • Seksheni ya Takwimu na Vifaa;
  • Seksheni ya Elimu ya Mahitaji Maalum;
  • Seksheni ya Elimu ya Watu Wazima na Elimu Isiyo Rasmi.
  • Seksheni ya Taaluma

Seksheni hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kuratibu utekelezaji wa sera, mipango, miongozo na mijadala ya elimu ya awali na msingi katika ngazi ya shule;
  • Kuratibu na kusimamia usimamizi wa tathmini endelevu za shule na mitihani ya taifa ya darasa la nne na la saba;
  • Kusimamia na kutathmini utekelezaji wa mipango ya elimu ya awali na msingi;
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji wa mipango na program za maendeleo ya elimu; na
  • Kuratibu utoaji wa elimu ya kujitgemea na usimamizi wa shughuli/ miradi inayozalisha mapato kwenye shule za msingi.
  • Seksheni hii inaongozwa na Afisa Anayehusika.
  • Seksheni ya Takwimu na Vifaa

Seksheni hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kukusanya, kuchambu ana kutafsiri takwimu za elimu ya awali na msingi;
  • Kuratibu upatikanaji, usambazaji na utumiaji wa rasilimali za kielimu katika shule za msingi;
  • Kuratibu takwimu na vifaa vya uandikishwaji mashuleni;
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji wa maendeleo ya elimu; na
  • Kubainisha mahitaji ya rasilimali kwa shule zilizo ndani ya Halmashauri.
  • Seksheni hii inaongozwa na Afisa Anayehusika.
  •  
  • Seksheni ya Mahitaji Maalum

Seksheni hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kuandaa na kusimamia utekelezaji wa mipango ya elimu ya mahitaji maalum kwa elimu ya msingi;
  • Kutambua watoto wenye mahitaji maalum na kuwagawa mashuleni;
  • Kukusanya taarifa za wanafunzi wenye mahitaji maalum na kutoa ushauri ipasavyo;
  • Kuratibu upatikanaji, usambazaji na utumiaji wa rasilimali za elimu ya mahitaji maalum.

Seksheni hii inaongozwa na Afisa Anayehusika.

  • Seksheni ya Elimu ya Watu Wazima na Elimu Isiyo Rasmi

Seksheni hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kuandaa na kusimamia utekelezaji wa mipango ya elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi kwa shule za msingi;
  • Kuratibu elimu ya stadi za maisha;
  • Kuendesha tathmini ya mahitaji ya elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi;
  • Kushauri kuhusu uanzishaji na uendelezaji wa vituo vya mafunzo ya elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi; na
  • Kuratibu upatikanaji, usambazaji na utumiaji wa rasilimali za elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi.

Seksheni hii inaongozwa na Afisa Anayehusika

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa