TAARIFA YA WASIFU
JINA: PASCAL MWENDISHULE KIHANGA
KUZALIWA: TAREHE 25 JANUARI 1957
ELIMU YA MSINGI: SHULE YA MSINGI MGAMA – IRINGA VIJIJINI – 1969- 1975
ELIMU YA SEKONDARI: UKUMBI TECHNICAL SCHOOL – IRINGA VIJIJINI – 1976- 1979
ELIMU YA UFUNDI : TUZO – TEST GRADE THREE [CARPENTRY] - 1978
TEST GRADE TWO [CARPENTRY] - I979
TEST GRADE ONE [CARPENTRY] CHANG’OMBE VETA – 1982
AJIRA
- CHUO KIKUU CHA KILIMO SOKOINE (SUA)
- IDARA YA MILIKI – CHEO – TECNICIAN (CARPENTRY) 1980-1985
BIASHARA
SHUGHULI BINAFSI ZA BIASHARA NA KILIMO 1990- HADI SASA
CHEO: MKURUGENZI MTENDAJI - PACHA CONSTRUCTION COMPANY LTD
KOZI NYINGINEZO
KATIBU WA SHINA – CCM CHUO KIKUU CHA KILIMO CHA SOKOINE 1985-1990
MWENYEKITI – CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU CHA MKOA MOROGORO (MRFA) 2011-2015
2015 HADI SASA
KAMANDA WA VIJANA CCM – WILAYA YA MOROGORO MJINI 2007- HADI SASA
MJUMBE - MKUTANO MKUU WA WILAYA CCM MOROGORO MJINI 2007-2017
MJUMBE - BODI YA SHULE YA SEKONDARI MZUMBE MVOMERO- MOROGORO
MJUMBE - BODI YA SHULE YA SEKONDARI MAFIGA MANISPAA YA MOROGORO
DIWANI - KATA YA MAZIMBU MANISPAA YA MOROGORO
MSTAHIKI MEYA - HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa