• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

Sekondari

DIVISHENI YA ELIMU SEKONDARI

Lengo

Kuratibu utekelezaji wa sera, mipango, sheria na mijadala na miongozo ya elimu sekondari.

Majukumu

Divisheni hii inatekeleza majukumu yafuatayo:-

  • Kusimamia usimamizi wa tathmini endelevu na mitihani ya Taifa ya kidato cha pili, cha nne na cha sita;
  • Kufanya ufuatiliaji na tathmini ya utekelezaji wamipango na program za Elimu Sekondari;
  • Kusimamia utoaji wa elimu ya watu wazima katika ngazi ya sekondari;
  • Kutengeneza na kudumisha kanzidata ya elimu sekondari;
  • Kuratibu elimu ya stadi za maisha katika shule za sekondari
  • Kuratibu na kusimamia michezo na burudani za shule za sekondari;
  • Kuendesha tathmini ya mahitaji ya elimu ya mahitaji maalum, elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi;
  • Kutoa ushauri kuhusu uanzishaji na uendelezaji wa vituo vya elimu ya wenye mahitaji maalum, elimu ya watu wazima na elimu elimu isiyo rasmi; na
  • Kutoa ushauri kuhusu uanzishaji na uendelezaji wa vituo vya elimu ya mahitaji maalum, elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi.

Divisheni hii inaongozwa na Mkuu wa Divisheni na ina Seksheni nne kama ifuatavyo:-

  • Seksheni ya Taaluma
  • Seksheni ya Takwimu na Vifaa
  • Seksheni ya Elimu ya Mahitaji Maalum na
  • Seksheni ya Elimuya Watu Wazima na Elimu Isiyo Rasmi.
  • Seksheni ya Taaluma

Seksheni hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kusimamia utekelezaji wa sera, mipango, mijadala na miogozo ya elimu  sekondari kwenye shule za sekondari;
  • Kusimamia ukuaji wa ufaulu wa shule za sekondari;
  • Kuratibu na kusimamia utoaji wa tathmini endelevu na mitihani ya Taifa ya kidato cha pili na cha nne;
  • Kusimamia na kufanya tathmini ya utekelezaji wa mipango ya Elimu Sekondari na kutathmini uimara na udhaifu wake; na
  • Kuratibu na kusimamia michezo na burudani katika shule za sekondari.

Seksheni hii inaongozwa na Afisa Anayehusika.

  • Seksheni ya Takwimu na Vifaa
  • Seksheni hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-
  • Kukusanya, kuchambua na kutafsiri takwimu za elimu sekondari;
  • Kuratibu upatikanaji, usambazaji na utumiaji wa rasilimali za elimu katika shule za sekondari;
  • Kuratibu takwimu za uandikishaji wanafunzi na vifaa mashuleni;
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji kuhusu maendeleo ya elimu; na
  • Kuamua mahitaji ya rasilimali kwa shule katika Halmashauri

Seksheni hii inaongozwa na Afisa Anayehusika.

  • Seksheni ya Elimu ya Mahitaji Maalum
  • Seksheni hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-
  • Kuandaa na kusimamia mipango ya utekelezaji wa elimu ya mahitaji maalum kwa shule za sekondari;
  • Kutambua watoto wenye mahitaji maalum na kuwagawa shuleni;
  • Kukusanya taarifa za wanafunzi wenye mahitaji maalum na kutoa ushauri ipasavyo;
  • Kuratibu upatikanaji, usambazaji na utumiaji wa rasilimali za elimu ya mahitaji maalum.

Seksheni hii inaongozwa na Afisa Anayehusika.

  • Seksheni ya Elimu ya Watu Wazima na Elimu Isiyo Rasmi
  • Seksheni hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-
  • Kuandaa na kusimamia mipango ya utekelezaji wa elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi kwa elimu sekondari;
  • Kuratiibu elimu ya stadi za maisha;
  • Kuendesha tathmini ya mahitaji ya elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi;
  • Kushauri kuhusu uanzishaji na uendelezaji wa vituo vya elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi; na
  • Kuratibu upatikanaji, usambazaji a utumiaji wa rasilimali za elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi.

Seksheni hii inaongozwa na Afisa Anayehusika.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI YATOLEWA MANISPAA YA MOROGORO.

    May 14, 2025
  • BALOZI BATILDA ATAKA MAONI YA WADAU KUFANYIWA KAZI KUELEKEA MAONESHO YA NANENANE KANDA YA MSHARIKI 2025

    May 06, 2025
  • MAAFISA ARDHI WATAKAOBAINIKA NI VYANZO VYA MIGOGORO YA ARDHI TUTAWAFIKISHA MAHAKAMANI-DKT.NDUMBARO.

    May 05, 2025
  • WAAJIRI SEKTA BINAFSI RUHUSUNI WATUMISHI WENU KUJIUNGA NA CHAMA CHA WAFANYAKAZI - RC MALIMA.

    May 01, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa