MSIMAMIZI WA UCHAGUZI HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA MWAKA HUU 2019 TAREHE 24 MWEZI 11 KUTAFANYIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUCHAGUA WENYEVITI WA MITAA,WAJUMBE WA KAMATI YA MTAA NA WAJUMBE WA KAMATI KUNDI MAALUM WANAWAKE.
HIVYO WANANCHI WOTE WALIOTIMIZA UMRI WA MIAKA 18 NA KUENDLEA WAFIKE KWENYE MITAA YAO HUSIKA KUWEZA KIJIANDIKISHA KUWA WAPIGA KURA.
VITUO VYA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA VITAFUNGULIWA SAA 2:00ASUBUHI NA KUFUNGWA SAA 12:00 JIONI.
WANANCHI WOTE WENYE SIFA YA KUJIANDIKISHA WAJITOKEZE KUANZIA TAREHE 8/10/2019 HADI TAREHE 14/10/2019 KWENYE MITAA YAO WANAYOISHI ILI KUTIMIZA HAKI YAO YA KIKATIBA.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa