li kupata kiwanja katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro unatakiwa kufika Ofisi za Mipaangomiji zilizopo stendi mpya ya Daladala zilizopo Kata ya Mafiga,hapo utapata nafasi ya kuchagua kiwanja unachotaka kutoka maeneo yaliyopimwa rasmi. Aidha utapata ushauri na maelekezo ya kitaalam yatakayokusaidia kwenye mchakato mzima wa ununuzi.
Pamoja tuijeenge Manispaa ya Morogoro
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa