Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Afya Lukobe ni miongoni mwa miradi ya ujenzi wa kituo cha Afya inayotekelezwa nchi nzima kutokana na fedha za Tozo kutoka Serikali kuu ambayo inagharimu kiasi cha Milioni mia tano kama sehemu ya ujenzi wa kituo hicho cha Afya.
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa