Tuesday 24th, December 2024
@JAMHURI STADIUM MOROGORO
1.Maonyesho ya Kilimo Marathon Yatafanyika Uwanja wa Jamhuri kuanzia Tarehe28/09-1/10/2022,yakitanguliwa na kongamano la wadau wa kilomo litakalofanyika 28/9/22
2.Uzinduzi wa Filamu Ya Royal Tour kimkoa itafanyika usiku wa 30/09/22
3.Mbio za Kilimo Marathon zitafanyika tarehe 1/10/2022
4.Uzinduzi wa msimu wa Kilimo utafanyika Wilaya ya Kilosa ambapo wakulima watapewa mashamba pori yaliyofutwa umiliki wake na Mhe.Samia Suluhu Hassan
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa