Tuesday 24th, December 2024
@VIWANJA VYA MWL .NYERERE MOROGORO
Maonyeshi ya Kilimo na ufugaji na uvuvi ufanyika kila mwaka kuanzia tarehe 1-08 hadi tarehe 8-8 ndipo uwa kilele.
Kauli mbiu ya mwaka huu ni " ZALISHA KWA TIJA MAZAO NA BIDHAA ZA KILIMO ,MFUGO NA UVUVI ILI KUFIKA UCHUMI WA KATI"
Wananchi wote mnakaribishwa banda la Manispaa ya Morogoro kujionea mbinu mbalimbali za kilimo,ufugaji na uvuvi.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa