MKURUGENZI WA MANISPAA YA MOROGORO ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA TAREHE 19.08.2021 SIKU YA ALHAMIS KUTAFANYIKA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO.
MKUTANO UTAANZA SAA 4.00 ASUBUHI KWENYE UKUMBI WA SOKO LA CHIFU KINGALU.
WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa