TANGAZO
MKURUGENZI WA MANISPAA YA MOROGORO ANAPENDA KUWATANGAZIA KUWA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO IMEPANGA NA KUPIMA VIWANJA 12000 KATIKA ENEO LA KIEGEA A & B (STAR CITY).
VIWANJA HIVYO NI KWA AJILI YA MATUMIZI MBALIMBALI IKIWA NI KWA MATUMIZI YA MAKAZI, MAKAZI NA BIASHARA, VIWANDA, VITUO VYA MAFUTA, VYUO NA MAJENGO YA UMMA.
VIWANJA HIVYO VINAPATIKANA UMBALI WA KILOMETA 3.5 KUTOKA BARABARA KUU IENDAYO DODOMA, KITUO CHA DALADALA MKUNDI SHELI KUPITIA BARABARA YA HOSPITALI YA WILAYA .
BEI ZA VIWANJA HIVYO NI KAMA IFUATAVYO,
MAKAZAI TSH.3500/= KWA MITA MOJA YA MRABA
MAKAZI NA BIASHARA TSH 4500/=
VIWANDA VIDOGO TSH 4000/=
HUDUMA NA TAASISI TSH 3500/=
MAENEO YA BIASHARA TSH 5000/=
MALIPO YA VIWANJA HIVYO YATAFANYIKA KWA
NDANI YA KIPINDI CHA SIKU 90 (MIEZI 3) TOKA ULIPOCHUKUA FOMU YA MAOMBI YA KIWANJA HUSIKA.
FOMU ZA MAOMBI ZITAANZA KUTOLEWA TAREHE 05/12/2022 KATIKA OFISI ZA ARDHI ZILIZOPO STENDI MPYA YA DALADALA MAFIGA .
KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE SIMMU NAMBA
0754949816
0717361082
0754405905
“MILIKI KIWANJA KWA BEI NAFUU ”
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa