Tuesday 24th, December 2024
@UWANJA WA JAMHURI MOROGORO
MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI UFANYIKA KILA MWAKA DUNIANI ,KWA MWAKA HUU MAADHIMISHO HAYO YATAAMBATANA NA SHUGHULI ZIFUATAZO
1.KONGAMANO LITAKALOSHIRIKISHA WALENGWA WOTE WA SHEREHE WAKIWEMO WANAWAKE ,VIJANA WA KIKE NA YOUNG MOTHERS
2.ELIMU YA KUJITAMBUA KWA WANAFUNZI WA KIKE SHULE ZA MSINGI,SEKONDARI NA VYUO.
3.UPIMAJI WA AFYA KWA WANAWAKE YAKIWEMO MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA KAMA B.P,KISUKARI,NA UPIMAJI WA VVU NA USHAURI WA LISHE.
4.MAONYESHO YA BIDHAA MBALIMBALI ZA WANAWAKE NA VIJANA WAJASIRIAMALI
5.KUTOA MIKOPO KWA VIKUNDI KWA WATU WENYE ULEMAVU.
6.MASHINDANO YA MICHEZO KWA WANAWAKE IKIWEMO KUKIMBIZA KUKU,KUKIMBIA KWENYE GUNIA NA KUVUTA KAMBA.
KAULI MBIU YA MAADHIMISHO HAYA NI: BADILI FIKRA KUFIKIA USAWA WA KIJINSIA KWA MAENDELEO ENDELEVU.
MAANDAMANO SIKU YA KILELE YATAANZIA OFISI KUU YA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO KUANZIA SAA MBILI ASUBUH.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa