Tuesday 24th, December 2024
@
MKUU WA WILAYA YA MOROGORO ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA MANISPAA YA MOROGORO KUWA TUNATARAJIA KUUPOKEA MWENGE WA UHURU TAREHE 28/9/2022 KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI MWENGE ILIYOPO KATA YA KINGOLWIRA NA MKESHA WA MWENGE UTAKUWA KATIKA VIWANJA VYA FIRE.
WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KATIKA MAPOKEZI,MAENEO YA MIRADI NA ENEO LA MKESHA.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa