Tuesday 24th, December 2024
@MOROGORO
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itafanya Sensa ya Watu na Makazi mnamo tarehe 23 Mwezi Agosti Mwaka 2022.
Maandalizi ya Sensa hiyo yanafanyika kwa mujibu wa Sheria ya Takwimu SURA 351.
Uzinduzi huu ulifanyika tarehe 22 Mei 2021 katika Viwanja vya Ofisi ya Taifa ya Takwimu vilivyopo Barabara ya Jakaya Kikwete karibu na Ukumbi wa Mikutano wa Chama Cha Mapinduzi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma.
"NIKIHESABIWA, UKIHESABIWA, AKIHESABIWA NA WAKIHESABIWA SOTE TUTAKUWA TUMEHESABIWA"
SENSA KWA MAENDELEO JIANDAE KUHESABIWA
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa