Tuesday 24th, December 2024
@VIWANJA VYA MICHEZO SHULE YA SEKONDARI MOROGORO
Halmashauri ya Manispaa Morogoro imezindua rasmi mashindano ya umitashumta kwa kuendesha mashindano ya timu kutoka katika shule zote za msingi za Serikali zilizo ndani ya Manispaa ili kuweza kuunda timu za Wilaya.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa