• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

CHANGAMOTO DAMPO MANISPAA YA MOROGORO YAPATIWA UFUMBUZI

Posted on: February 15th, 2020

MKURUGENZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba, amesema kero ya Dampo kwa sasa inakwenda kumalizika kufuatia kuweka kijiko kitakacho safisha njia na kuingiza takataka zote ndani ya Dampo hilo.

Akizungumza kuhusu kero hiyo, amesema kwa sasa kazi imeshaanza ya kuweka njia mbadala ambazo zitarahisisha magari ya taka kuingia katika dampo na kumwaga uchafu jambo ambalo awali lilikuwa changamoto kutokana na taka kutupwa nje ya dampo na kupelekea kero za kimazingira kwa wananchi.

"Ili kuondoa kero kwa wananchi ya harufu ya dampo na inzi wengi tumechukua uamuzi wa kukodisha  kijiko kwa muda ili kuweka mazingira mazuri ya kuhakikisha takataka zote zinaingia ndani ya dampo, vifaa vyetu bado vinachangamoto lakini navyo tunavishughulikia vipo katika matengenezo, niwahakikishie Wananchi wa Manispaa ya Morogoro hakutazagaa takataka tena katika mitaa yetu na katika makazi ya wananchi , kwani magari yapo na dampo letu linaingilika kwa urahisi tofauti na awali " Amesema Sheilla.

Amesema  kuwa, dampo hilo limekuwa likilalamikiwa nakusababisha uchafu kuingia mpaka barabarani na kusogea karibia na maeneo ya kazi za watu huku harufu mbaya ikiendelea kuwa kero kwa watu kila siku.

Kwa upande wake, Afisa Mazingira wa Manispaa ya Morogoro, Samweli Subi, amesema  kuwa suala la uchafu katika Manispaa lipo ila

 jitihada zinafanyika ili kupambana na suala la uchafu ambapo amewataka wale wanaohusika na ukusanyaji wa taka majumbani na mitaani wazidishe kasi kwani kwa sasa dampo hilo linapitika kirahisi tofauti na mwanzo.

Pia, amewataka wananchi kuhakikisha wanaweka mazingira safi na salama kwani Manispaa imejitahidi kununua mapipa ya kuhifadhia taka na kuyasambaza maeneo tofauti tofauti  wakiwa na lengo  la kuweka manispaa safi kwa ajili ya afya za wananchi wake.

Naye ,  Afisa afya na msimamizi wa dampo, Msisa Ziota, amemshukuru Mkurugenzi wa Manispaa kwa jitihada za kupata Kijiko mbadala cha kuchonga njia mbadala za kupitishia magari ya taka.

Amesema Kijiko hicho kipo kazini na tayari wameshaanza kuweka njia nzuri na magari ya taka yanaweza kuingia na kutupa taka katika dampo hilo kwa urahisi tofauti na awali

"Hatua nzuri sana, mwanzo hali ilikuwa mbaya takataka zote zilikuwa zinabakia nje nyingine zinaleta harufu katika makazi ya watu nzi wanazaliana wengi hususani katika kipindi cha mvua harufu inakuwa kali baada ya taka kuoza lakini kwa sasa magari yanapita kilichobakia ni kuweza kupata Wheel Loader ili kuchota taka zilizo pembeni mwa barabara na kuziingiza ndani baada ya hatua za awali ya kuzisogeza pembeni kuweka njia ya magari kupita"Amesema Ziota.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 04, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023 July 14, 2023
  • ENVIRONMENT AND SOCIAL IMPACT ASSESSMENT April 24, 2024
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • DKT.KIJAJI AFUNGA WIKI YA MAZIWA KITAIFA NA KUWATAKA WAFUGAJI KUZALISHA MAZIWA SALAMA KUENDANA NA USHINDANI WA SOKO LA MAZIWA.

    June 02, 2025
  • WANANCHI WATAKIWA KUSAFISHA MAZINGIRA YAO MARA KWA MARA

    May 31, 2025
  • WATENDAJI WA MITAA WATAKIWA KUSIMAMIA VYEMA MKATABA WA LISHE

    May 29, 2025
  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI YATOLEWA MANISPAA YA MOROGORO.

    May 14, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa