• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

DC MSULWA ATAKA ZOEZI LA UGAWAJI VIZIMBA VYA BIASHARA SOKO KUU LIENDESHWE KWA UTULIVU

Posted on: July 23rd, 2020

MKUU waWilaya ya Morogoro, Mhe. Bakari Msulwa, amelitaka zoezi la ugawaji wa Vizimbavya Wafanyabiashara katika Soko Kuu la Kisasa Manispaa ya Morogoro lifanyikekwa utulivu na amani.

 Kaulihiyo ameitoa jana Julai 23,2020 wakati wa mkutano na Wafanyabiashara wa Soko laManzese katika kuwapa utaratibu ambao Manispaa ya Morogoro  umeupanga.

 Akizungumzana Waandishi wa habari, Msulwa, amesema kuwa Serikali imewekeza fedha nyingikatika Soko hilo hivyo itakuwa ni jambo la aibu zoezi hilo kama litatawaliwa navurugu na fujo.

 Msulwa,amesema kabla ya zoezi la kuwaingiza Wafanyabiashara hao Sokoni lazima waanzekutengenezewa namba zao na kuoneshwa maeneo watakayokaa katika vizimba vyao iliwakati wa zoezi kusiwe na fujo wala viashiria vya uonevu.


"Nimesikiakwamba kuna utaratibu wa wafanyabiashara kuingia hapa Sokoni, lakini niwaombe wahusikahuu utaratibu ili ufanyike vizuri wachukueni wale ambao wameshakuwa katikavigezo vyenu mkawaoneshe Vizimba vyao kwanza kisha muwape namba zao na waleambao watakosa sifa muanze utaratibu wa kuwapa hizo fomu bila upendeleo ili haowenye sifa wakishaingia na hawa wasikose maeneo ya kufanya biashara iliwaendelee kutafuta ridhiki zao, itakuwa jambo la aibu zoezi hili likatawalia navurugu, tutakuwa hatujamtendea haki Mhe. Rais wetu Dkt John Pombe Magufuli kwakutupatia heshima kubwa ya mradi huu ambao ndio mkombozi wa Manispaa yetu"Amesema DC Msulwa.

 

Katikahatua nyingine, Msulwa, amesema Serikali ipo makini  sanana  haitofumbia macho chokochoko zenye viashiria vya uvunjifu waamani katika Soko hili.

 

NayeKaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro .....  amesema wamejipanga vizurikatika zoezi la ugawaji wa Vizimba huku akisema ushauri wa Mkuu wa Wilayawameupokea na kuufanyia kazi kwa ajili ya masilahi ya Serikali naWafanyabiashara  watakaokuwa wanafanya biashara katika Soko hilo bila upendeleowowote.

"Tumejipangavizuri sana, utaratibu wa kuwaorodhesha  wale wafanyabiashara waliosainimkataba awali kupisha ujenzi wa Soko hili umekamilika mpaka sasa tuna jumla yawafanyabiashara  764  ambao wanatokea Soko la Mawenzi  na Manzeseambao tuliwaondoa Soko la zamani kupisha ujenzi wa Soko hili na wale wataokosasifa za kuingia kama ulivyotuelekeza tutaanza haraka zoezi la ugawaji wa fomuna tutalisimamia vizuri kwa umakini bila upendeleo ili nao wawe na sifa zakufanya biashara katika Soko hili"" Amesema  Dr Kagize.

 

Dr Kagize, amewataka Wafanyabiashara hao wa Manispaa ya Morogoro, kuwa watulivu kwani soko hilo linavyovizimba vya kutosha.

 

Kwaupande wa Mweka hazina wa Manispaa ya Morogoro , Ponceano  Kilumbi,amesema mpaka sasa jumla ya wafanyabiashara  764 ndio wamekuwa na sifa zakupata Vizimba  Sokoni hapo, ambapo Soko la Manzese ni wafanyabiashara 446wamehakikiwa wenyesifa ni 399 wasio nasifa 47 na Soko la Mawenzi waliohakikiwa398 wenye sifa 365 na wasio na sifa 33.

 

Kilumbiamesema vizimba vipo 900 wakati  idadi ya wafanyabiashara wanaotakiwa kupata Vizimba ndani ya soko hilo  ni 764 waliokuwa na wasiona sifa 80 ambapo  hesabu inayoonyesha kuwa vizimba  136  vitabaki bila kutumika.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 04, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023 July 14, 2023
  • ENVIRONMENT AND SOCIAL IMPACT ASSESSMENT April 24, 2024
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • DKT.KIJAJI AFUNGA WIKI YA MAZIWA KITAIFA NA KUWATAKA WAFUGAJI KUZALISHA MAZIWA SALAMA KUENDANA NA USHINDANI WA SOKO LA MAZIWA.

    June 02, 2025
  • WANANCHI WATAKIWA KUSAFISHA MAZINGIRA YAO MARA KWA MARA

    May 31, 2025
  • WATENDAJI WA MITAA WATAKIWA KUSIMAMIA VYEMA MKATABA WA LISHE

    May 29, 2025
  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI YATOLEWA MANISPAA YA MOROGORO.

    May 14, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa