• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

DC NSEMWA AONGOZA UPANDAJI WA MITI 3000 MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZINGIRA DUNIANI MANISPAA YA MOROGORO

Posted on: June 4th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mhe. Rebeca Nsemwa ameongoza mamia ya wadau waMazingira Manispaa ya Morogoro kupanda miti 3000 katika maadhimisho ya Wiki yaMazingira Duniani Manispaa ya Morogoro.

Zoezi la upandaji wa miti hiyo ikiwemo miti ya matunda na mikarafuulimefanyika Juni 04/2024 Shule ya Sekondari Konga Kata ya Mzinga.

 DC Nsemwa, amesema kampeni yake ya sasa ni kuhakikisha Shule zote za Wilayaya Morogoro zinapanda miche ya mikarafuu isiyopungua 100.

 " Tumepanda miti 3000, lakini maelekezo ya Mkoa wetu kipaumbele Chakwanza kupanda miti ya mikarafuu,  na hapa tumepanda miti 2000 ya matundana tumegawa miti 1000 ya mikarafuu kwa Wananchi wa Luhungo,Mzinga na Milimani,tunataka mikarafuu hii iwe sehemu ya kuongeza vipato vyetu baada ya miaka 3,hata michango ya Wazazi ya chakula shuleni kama mikarafuu ikizaa tutapata fedhana shida zote za kuwabana Wazazi fedha ya chakula hazitakuwepo" Amesema DCNsemwa.

 

Naye Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro, Mhe. Pascal Kihanga, amempongezaDC Nsemwa kwa mapambano yake ya kuitaka Morogoro kuwa ya kijani lakinikusimamia Mazingira kikamilifu kwa kupanda miti ili kukabiliana na Mabadilikoya tabianchi.

 

Kwa upande wa Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Mazingira, Mhe. Hamis Kilongo,amesema Manispaa ya Morogoro itaendelea kupanda miti na kutunza Mazingira Kwakushirikiana na wadau wa Mazingira na kusimamia kikamilifu sheria ndogo yaMazingira ya mwaka 2024 ili kuhakikisha Mji unakuwa safi na Salama.

 

Meneja  NEMC Mkoa wa Morogoro, Abel Sembeka,  amesema NEMCitaendelea kutoa ushirikiano wa dhati kwa Halmashauri zote Mkoa wa Morogoro ilikuhakikisha uhifadhi wa Mazingira unakuwa kipaumbele kwa Wananchi.

Miongoni mwa wadau wa Mazingira, kutoka  Benki ya Diamond Trust Bank (DTB Bank) , Meneja wa Masoko  DTB Benki , Silvester Bahati , amesema DTBBenki wataendelea kusaidia shughuli zote za uhifadhi wa Mazingira kadriwatakavyoweza kijadiliwa kupitia Bajeti zao na kuwa Benki namba moja ambayoitakuwa mstari wa mbele kuchochea uhifadhi wa Mazingira nchini.

Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Dkt. Maneno Matawa, amewashukuruwadau wa Mazingira waliojitokeza huku akiomba ushirikiano huo uendeleee kwaniadhima ya Manispaa ya Morogoro ni kuwa Jiji na hawawezi kuwa Jiji kama Mji badoni mchafu.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 04, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023 July 14, 2023
  • ENVIRONMENT AND SOCIAL IMPACT ASSESSMENT April 24, 2024
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • DKT.KIJAJI AFUNGA WIKI YA MAZIWA KITAIFA NA KUWATAKA WAFUGAJI KUZALISHA MAZIWA SALAMA KUENDANA NA USHINDANI WA SOKO LA MAZIWA.

    June 02, 2025
  • WANANCHI WATAKIWA KUSAFISHA MAZINGIRA YAO MARA KWA MARA

    May 31, 2025
  • WATENDAJI WA MITAA WATAKIWA KUSIMAMIA VYEMA MKATABA WA LISHE

    May 29, 2025
  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI YATOLEWA MANISPAA YA MOROGORO.

    May 14, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa