• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

DKT. KEBWE ASIMAMISHA CAR WASH ZISIZO NA VIGEZO

Posted on: January 4th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe amesimamisha vituo vya kuoshea magari vilivyopo katika Halmashauri ya manispaa ya Morogoro kutofanya shughuli hiyo hadi hapo wamiliki wake watakapopokea maelekezo mengine.

Dkt. Kebwe ametoa agizo hilo Disemba 3, mwaka huu mara baada ya kutemebelea vituo kadhaa vya kuoshea magari (Car Wash) vilivyopo katika manispaa hiyo ili kujionea hali halisi na kukuta vituo vingi vinakosa sifa za kufanya kazi hiyo hali iliyosababisha Dkt. Kebwe kutoa agizo hilo.

Miongoni mwa mambo yaliyosababisha vituo hivyo kufungwa ni kukosa sifa ambazo ni pamoja na maeneo kubadilishiwa matumizi, kutokuwa na leseni ya kufanya kazi hiyo, kutililisha maji machafu kwenye vyanzo vya maji, maeneo mengine kutokuwa sehemu sahihi kwa ajili ya kazi hiyo na vingine kukosa sehemu ya kuhifadhia maji taka.

Hata hivyo, Dkt. Kebwe ameagiza  kituo cha kuoshea magari cha Oil com  kilichopo Nanenane kuendelea na kazi ya kuosha magari kwa kuwa kina mapungufu madogo na kutoa mwezi mmoja kufanya marekebisho yaliyopo ambayo ni kuboresha mifereji ya majitaka kuijengea sakafu ya nzege pamoja na kuweka paa eneo lote la kuoshea magari.

Aidha, Dkt. Kebwe amekisimamisha kufanya kazi kituo cha kuoshea magari cha  ‘Double D’ kilichopo kata ya Boma road kwa kuwa kiwanja hicho kipo kwa ajili ya matumizi ya ofisi ya kata na kwamba mabadiliko yoyote yatakayofanyika yapitie kwenye vikao halali vya madiwani wa Halmashauri husika.

Dkt. Kebwe amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Bi. Regina Chonjo kufuatilia maelekezo yote aliyotoa ya kusimamisha vituo hivyo ikiwa ni pamoja na kituo cha kuoshea magari kilichopo kiwanja cha kata ya Boma road na kituo cha kuosha magari kinachomilikiwa na Diwani wa Kata ya Mwembesongo Mhe. Ally Kalungwana ambavyo Dkt. Kebwe ameamuru navyo visimame kufanya kazi hiyo.

“wakati nakwenda kutayarisha maelekezo naombeni msimame kuanzia leo, msimame halafu tutawapa maelekezo nini cha kufanya” alisema Dkt. Kebwe.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 04, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023 July 14, 2023
  • ENVIRONMENT AND SOCIAL IMPACT ASSESSMENT April 24, 2024
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • DKT.KIJAJI AFUNGA WIKI YA MAZIWA KITAIFA NA KUWATAKA WAFUGAJI KUZALISHA MAZIWA SALAMA KUENDANA NA USHINDANI WA SOKO LA MAZIWA.

    June 02, 2025
  • WANANCHI WATAKIWA KUSAFISHA MAZINGIRA YAO MARA KWA MARA

    May 31, 2025
  • WATENDAJI WA MITAA WATAKIWA KUSIMAMIA VYEMA MKATABA WA LISHE

    May 29, 2025
  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI YATOLEWA MANISPAA YA MOROGORO.

    May 14, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa