• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

MANISPAA MORO YAOMBA USHIRIKIANO NA TIC KUTANGAZA MAENEO YAKE YA UWEKEZAJI

Posted on: August 3rd, 2022

HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro imekiomba Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kilichopo chini ya Wizara ya Viwanda ,Biashara na Uwekezaji kushirikiana katika kutangaza maeneo yake ya ardhi ili yaweze kupata wawekezaji kwenye sekta ya viwanda na kilimo.

Ombi hilo limetolewa na Meya wa Manispaa Mhe. Pascal Kihanga alipotembelea banda la TIC kanda ya Mashariki katika viwania vya maonesho ya Nanenane vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kanda ya Mashariki mkoani Morogoro.

Kihanga alisema Manispaa  ina eneo kubwa la uwekezaji na watu wenye nia ya kuwekeza katika sekta ya viwanda na kilimo wataoneshwa maeneo kwani ni maeneo mazuri kufanya uwezakaji huo .

“ Tunaomba tushirikane katika kutangaza maeneo yetu ya uwekezaji ,mwekezaji akija Manispaa ya Morogoro sisi tutamwonesha maeneo ya uwekezaji karibu na   eneo la Nane Nane na tumeyapanga kuwa ni sehemu ya uwekezaji “ alisema Kihanga

Kwa upande wake Ofisa Uwekezaji mkuu wa TIC , Fidelis Obanga akijibu ombi la Meya wa Manispaa  alisema kuwa watu wote watakaotembelea maonesho hayo hasa katika banda lao wanapewa taarifa za kuwepo eneo kubwa ya ardhi ndani ya Manispaa ya Morogoro kwa ajili ya uwekezaji wa viwanda na kilimo.

“ Kwa sasa tumetembelewa na watu wengi kwenye banda letu lakini wawili wameonesha nia ya kutaka kuwekeza ambapo mmoja wao ni kwenye eneo la ujenzi wa kiwanda cha mbolea na endapo atarejea kutaka mrejesho tutamwarifu “ alisema Obanga.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 04, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023 July 14, 2023
  • ENVIRONMENT AND SOCIAL IMPACT ASSESSMENT April 24, 2024
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • DKT.KIJAJI AFUNGA WIKI YA MAZIWA KITAIFA NA KUWATAKA WAFUGAJI KUZALISHA MAZIWA SALAMA KUENDANA NA USHINDANI WA SOKO LA MAZIWA.

    June 02, 2025
  • WANANCHI WATAKIWA KUSAFISHA MAZINGIRA YAO MARA KWA MARA

    May 31, 2025
  • WATENDAJI WA MITAA WATAKIWA KUSIMAMIA VYEMA MKATABA WA LISHE

    May 29, 2025
  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI YATOLEWA MANISPAA YA MOROGORO.

    May 14, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa